MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hii ndio Yanga mpya,
Wachezaji wa kigeni wanaokipiga katika club ya Yanga wameshtushwa na utaratibu wa ajabu wa klabu hiyo.
Tarehe 16 mwezi huu mishahara ya wachezaji hao iliingia huku pamoja na hilo kila mchezaji akiwekewa bonus ya mil 1.3 huku Paul Godfrey na Mapinduzi Barama wakipewa laki 5 zaidi kama hela ya matunda hasa ikizingatiwa wao ni majeruhi. Yanga imetajwa kama klabu inayolipa mishahara yake mapema zaidi barani Afrika. Wachezaji wa kigeni wa klabu hiyo walishangazwa hasa ikizingatiwa waliaminishwa klabu hiyo inaitwa bakuli FC isiyolipa kabisa mishahara kumbe ilikuwa ni majungu tu ya mikia FC.
Molinga maarufu kama Falcao amefurahishwa sana na akaipongeza uongozi wa wazee hao wa jangwani baada ya kupewa package ya laki 5 iliyopewa jina ' weight loss package ' , " naishukuru sana Papaa Musolwa kwa fwasi ya klabu na ninaichukua hii kama motivation '' alisema Falcao .