Wachezaji Yanga washangazwa mshahara kuingia tarehe 17

[emoji3] [emoji3] Kamusoko mlipeni kwanza madeni yake dhidi yenu asije akawachapa huko Ndola.

Yule mchezaji wa Simba ambaye sasa ni marehemu aitwaye Mafisango milimlipa stahili zake???!!!
 
kwani 16 mpaka 16 ni siku ngapi?
 
Mshahara bado unaingia trh 16 as always, achana na kelele za mikia FC
Tumeona matunda ya kutoa mishahara tarehe 16 Mkuu. Maprooo wote wanadai wana miezi mitatu bila bila na hata pesa yao ya Usajili hawajalipwa hapo veppe?
Yaani mkimuacha Lamine Moro na Balinya mmeisha. Sadney huyo tayari amesepa zake hao wawili wako mbioni. Happo ndio mtajua maharage ni mboga pia nyie vyura.
 
Wangejua mtoa mada ni timu gani wasingeunga mkono hoja kwa furaha
 
 
 
Tarehe 16 had 16 mwez mwngne kunatofaut gan na tareh 1 had tarehe 1
 
Kwani lile deni la Dante hawa Kwasukwasu wamemaliza?
 
Mahaba niue
 
hiyo ndio timu ya wananchi, sio mbumbumbu mpaka muhindi afurahi ndio wapewe mishahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…