[emoji3] [emoji3] Kamusoko mlipeni kwanza madeni yake dhidi yenu asije akawachapa huko Ndola.
Yule mchezaji wa Simba ambaye sasa ni marehemu aitwaye Mafisango milimlipa stahili zake???!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] Kamusoko mlipeni kwanza madeni yake dhidi yenu asije akawachapa huko Ndola.
Muulize akwambie kama hajalipwa.Yule mchezaji wa Simba ambaye sasa ni marehemu aitwaye Mafisango milimlipa stahili zake???!!!
Tumeona matunda ya kutoa mishahara tarehe 16 Mkuu. Maprooo wote wanadai wana miezi mitatu bila bila na hata pesa yao ya Usajili hawajalipwa hapo veppe?Mshahara bado unaingia trh 16 as always, achana na kelele za mikia FC
Hamna tabu lishakuwa endelevu na wachezaji wote hasa wa kigeni wanaendelea kufurahi sana.yanga oyeeee!!!!!
Hii ndio Yanga mpya,
Wachezaji wa kigeni wanaokipiga katika club ya Yanga wameshtushwa na utaratibu wa ajabu wa klabu hiyo.
Tarehe 16 mwezi huu mishahara ya wachezaji hao iliingia huku pamoja na hilo kila mchezaji akiwekewa bonus ya mil 1.3 huku Paul Godfrey na Mapinduzi Barama wakipewa laki 5 zaidi kama hela ya matunda hasa ikizingatiwa wao ni majeruhi. Yanga imetajwa kama klabu inayolipa mishahara yake mapema zaidi barani Afrika. Wachezaji wa kigeni wa klabu hiyo walishangazwa hasa ikizingatiwa waliaminishwa klabu hiyo inaitwa bakuli FC isiyolipa kabisa mishahara kumbe ilikuwa ni majungu tu ya mikia FC.
Molinga maarufu kama Falcao amefurahishwa sana na akaipongeza uongozi wa wazee hao wa jangwani baada ya kupewa package ya laki 5 iliyopewa jina ' weight loss package ' , " naishukuru sana Papaa Musolwa kwa fwasi ya klabu na ninaichukua hii kama motivation '' alisema Falcao .
Yaaani katika kitu ambacho sijakielewa ni hii habri, unasema wanalipa mapema wakati wakishalipwa hizo tarehe wanakuja kulipa tarehe kama hizo tena. Ambazo ni sawa tu anayelipwa tarehe 28/30 maana wote wanalipwa baada ya mwezi. Apple ya kijana na la rangi ya nyekundu yana ladha sawa utofauti ni rangi tu
Tarehe 16 had 16 mwez mwngne kunatofaut gan na tareh 1 had tarehe 1
Kwani lile deni la Dante hawa Kwasukwasu wamemaliza?
Mahaba niue
hiyo ndio timu ya wananchi, sio mbumbumbu mpaka muhindi afurahi ndio wapewe mishahara
Unapigia promo uzi wako ama?Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?
Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5. Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo...www.jamiiforums.com
Washabiki wa MENINA FC aka kwasukwasu wameingia kichwa kichwa hawajui kuwa thread hii ni kejeli kwao.Wangejua mtoa mada ni timu gani wasingeunga mkono hoja kwa furaha