Wachimba Visima

Wachimba Visima

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Kama kuna mtu ana kampuni ambayo inachimba visima kwa uhakika na reasonable price ningepanda anisaidie contact zao
 
tafuta thread ya bwana mmoja aliwahi kuweka mpaka bei ya kuchimba kisima hapa jukwaani...
 
Kabla hujachimba
jifunze tu kuwa kupima maji kabla ya kuchimba
na pump testing baada ya kuchimba
 
Kama kuna mtu ana kampuni ambayo inachimba visima kwa uhakika na reasonable price ningepanda anisaidie contact zao
Pigia huyu Jamaa,ni geologist,anafanya kazi maji ubungo na ana kampuni ya uchimbaji,kanichimbia kwangu 0713214724,anachimba,anapima maji na anakushauri,sio kuchimbachimba tu,maji ni very delicate product,vinginevyo utaingia chaka ujute.
 
Kama kuna mtu ana kampuni ambayo inachimba visima kwa uhakika na reasonable price ningepanda anisaidie contact zao
Experience drillers for fast, easy and affordable rate contact us now,
Tshs 60,000/ m for dar es salaam
Tshs 90,000/m to 100,00/m for pwani
Tshs 120,000/m to 140,000/m morogoro- iringa- mbeya
Tshs 150,000/m Dodoma
Tshs 150,000/m - 170,000/m Kilimanjaro -arusha.

Those price cover :
Mobilization & demobilized
Drilling down
uPVC
Annulus
Cleaning and borehole development 4.5" up to 5"
Pump test
Pump supply for DSM only.

Extra cost can incur:
Preliminary site visit ( option)
Topographic survey
Water pump supply and installation
Energy source.

Your all welcome,...

0789291116
 
Back
Top Bottom