Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Dah pole Yao Mungu awanusuriMgodi unaomilikiwa na kikundi cha wachapakazi umetitia wakati eneo hilo lilipokuwa likifanyiwa ukarabati, huku watu 22 wamekwama na watatu kuokolewa ambapo hadi sasa na juhudi za uokoaji zinaendelea.
Soma pia: John Mafuru: Wafanyabiashara wa jengo lililoporomoka tunamsubiri Rais Samia ambaye atatupa hatima yetu na Mali zilizomo kwenye kifusi
View attachment 3439259
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro leo Agosti 12, 2025 baada ya kufika eneo la tukio.
Hapa semenya umeandika kama wise man.Dah Mungu awasaidie watoke Salama
Anakaribia miaka miwili sana, alihamishiwa hapo toka wilaya ya Tunduru mkoa wa RuvumaWanaojiuliza kama mimi JULIUS MTATIRO tangu lini ni mkuu wa wilaya Shinyanga tukutane kwa like.
Zile nikuchangamsha jamvi Tu๐๐๐Hapa semenya umeandika kama wise man.
Sio zile porojo zako za kula kiapo cha imam hussein.
Matapeli wamekusikiaPesa ina tafutwa wanawake acheni utapeli kidogo mna tuumiza
Hahahaaaaa dah mzee wa kila kiapo kwa imam Hussein ibn aliHapa semenya umeandika kama wise man.
Sio zile porojo zako za kula kiapo cha imam hussein.