Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

BEI YA UCHIMBAJI KISIMA TSHS 90000/MITA

OFFA KWA WAKAZI WA DODOMA: kampuni ya uchimbaji wa Visima virefu na Vifupi TAWA WATER PROFFESIONAL tunapenda kuwa taharifu kuwa huduma zetu tumepunguza ghalama.

Bei ya uchimbaji itakuwa ni Tshs 90,000 kwa mita moja na kwa bei hiyo utakabidhiwa kisima chako full mpaka maji yanatoka.

Mawasiliano: 0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_Watsapp only

Kiongozi hiyo ni gharama kubwa sana.. Haziendani na maisha ya mtz . Hebu fanyeni review ya bei zenu kwa kweli
 
Swala sio Review boss ghalama za uchichimbaji zinategemeana na ghalama za material yanayotumika kuchimba kuanzia pipes na kila kitu
Kiongozi hiyo ni gharama kubwa sana.. Haziendani na maisha ya mtz . Hebu fanyeni review ya bei zenu kwa kweli
 
Kiongozi nishachimba na kampuni mbili tofauti visima viwili kingine mita 90 kingine mita 100 dodoma haikufika hio bei unayosema ww na maji bwelele. Naamaanisha nachokisema kiongozi. Review bei zenu ni kubwa sanaa. Sijui kwa nn.
Swala sio Review boss ghalama za uchichimbaji zinategemeana na ghalama za material yanayotumika kuchimba kuanzia pipes na kila kitu
 
Ulichimba kwa kiasi gani? Na ilikuwa kipindi gani? Na aliyekuchimbia alikuwekea bomba juu mpaka chini pamoja na pampu?
Kiongozi nishachimba na kampuni mbili tofauti visima viwili kingine mita 90 kingine mita 100 dodoma haikufika hio bei unayosema ww na maji bwelele. Naamaanisha nachokisema kiongozi. Review bei zenu ni kubwa sanaa. Sijui kwa nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…