Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Kama ni kwaajili ya shamba sawa...ila kwa matumizi ya nyumbani tu hio gharama ni MufilisiUmejenga? Una shamba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kwaajili ya shamba sawa...ila kwa matumizi ya nyumbani tu hio gharama ni MufilisiUmejenga? Una shamba?
Underground Water Survey yetu inauwezo wa kujuwa umbali wa maji yalipo. Aina ya mwamba uliyopo kwenye eneo husika. Ina uwezo wa kujuwa kama maji ni baridi au chumvi
Bei ni Tsh. 200000 kwa wakazi wa Dar es Salaam unapewa na Report kabisa.
Tupo Dar es salaam Chanika
Mawasiliano: 0689 150 968/0764 418 248 na watsap ni 0625 576082
View attachment 1778788View attachment 1778790View attachment 1778791View attachment 1778793
Huduma bado ipo?Chimba kisima now
Soon nitawataftaIpo boss
Unaposema bure una maanisha nini!?? Sema bei inajumuisha na vitu hivyo ulivyo ainisha.. ma sio kusema bureTAWA WATER PROFFESIONAL:
Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.
Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa
1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa
2: Gravel nazo tutakuwekea bure
3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure
4: Tutakusafishia kisima chako bure pia
5: Pia tutakupa na water tank bure kabisa
6: Pia tunatoa ushauri bure kabisa
Bei zetu ni nafuu kabisa Pia tunafanya Underground water survey kwa gharama nafuu kabisa
Tupo Dar es salaam-Chanika
Kwa maelezo ya kina usisite kunipigia simu
Mawasiliano: 0625576082
0764418248
View attachment 872086View attachment 872088View attachment 872090
✅Tuwekee bei za mwaka huu tuone punguzo ndugu
Okay kwa kanda ya ziwa bei ikoje?Mahala kokote boss wangu