Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

Bei za Uchimbaji wa VisimA Pamoja na Underground water Survey kwa Dar Es salaam na mikoani;

Kwa Dar Es salaam na mkoa wa Pwani bei za Uchimbaji zinaanzia Tshs 70000/= hadi Tshs 80000/= kwa mita moja

Kwa Dar Es salaam na Pwani bei za Underground Water Survey zinaanzia Tshs 250,000/= hadi Tshs 500,000/= itategemea na saiti ilipo.

Bei za Uchimbaji wa Visima kwa Mikoani inaanzia Tshs 90,000/= hadi Tshs 120,000 kwa mita moja inategemea na saiti ilipo.

Bei za Underground water Survey kwa mikoani inaanzia Tshs 650,000 hadi Tshs 1,500,000 itategemea na saiti ilipo

Nb: Bei za Uchimbaji zinajumuisha uwekaji wa Upvc pipes,kusafisha kisima pamoja na kufunga pampu ya kisima bure kabisa.

Mawasiliano: 0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082
20210411_102804.jpeg
255655400549_status_27d8edd68d2e4f8da3f8983d35e12480.jpeg
20210411_102315.jpeg
 
Underground Water Survey yetu inauwezo wa kujuwa umbali wa maji yalipo. Aina ya mwamba uliyopo kwenye eneo husika. Ina uwezo wa kujuwa kama maji ni baridi au chumvi

Bei ni Tsh. 200000 kwa wakazi wa Dar es Salaam unapewa na Report kabisa.

Tupo Dar es salaam Chanika

Mawasiliano: 0689 150 968/0764 418 248 na watsap ni 0625 576082

FB_IMG_1619522910586.jpeg
FB_IMG_1619522901466.jpeg
FB_IMG_1619438022284.jpeg
FB_IMG_1620392231973.jpeg
 
TAWA WATER PROFFESIONAL:

Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.
Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa

1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa

2: Gravel nazo tutakuwekea bure

3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure

4: Tutakusafishia kisima chako bure pia

5: Pia tutakupa na water tank bure kabisa

6: Pia tunatoa ushauri bure kabisa

Bei zetu ni nafuu kabisa Pia tunafanya Underground water survey kwa gharama nafuu kabisa

Tupo Dar es salaam-Chanika

Kwa maelezo ya kina usisite kunipigia simu

Mawasiliano: 0625576082
0764418248
View attachment 872086View attachment 872088View attachment 872090
Unaposema bure una maanisha nini!?? Sema bei inajumuisha na vitu hivyo ulivyo ainisha.. ma sio kusema bure
 
WACHIMBAJI BORA WA VISIMA TANZANIA


Tunahakikisha Huduma Bora Kwa Kila Hatua:


1. Upimaji Maji Ardhini


2. Uchimbaji Visima Vya Maji


3. Usafishaji Na Ukarabati Wa Visima Vya Maji


4. Ufungaji Wa Pump


Piga Simu Sasa:


📞 0689 150 968 | 0625 557 395 | 0764 418 248 | 0712 675 412


Au Tuandikie:
📧
Tawawaterproffesional@Gmail.com


Tunahakikisha unapata kisima kilicho bora kabisa


Maji Ni Uhai Na Sisi Tunawezesha Maisha Yenye Afya Na Ustawi


#KisimaNafuu
 

Attachments

  • VID-20241122-WA0000.mp4
    7.8 MB
Mnafanya hii kazi mahala popote nchini au baadhi ya mikoa tu?
 
Back
Top Bottom