GE2025 Wachimbaji wadogo wa Madini waichangia CCM Bilioni 16.2

GE2025 Wachimbaji wadogo wa Madini waichangia CCM Bilioni 16.2

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wachimbaji wadogo wa madini wamechangia Bilioni 16.2 kwenye harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, zilifanyika Mlimani city (CCM gala dinner 2025)

Je ni ishara ya imani na mshikamano kwa serikali kwamba wamefanyiwa makubwa?
Pesa haramu hiyo inatoka mfuko huu inapelekwa mfuko huu
 
Billion au Gideon? 😹
Hizi pesa sio wanafanya utakatishaji kweli?
 
Wachimbaji wadogo wa madini wamechangia Bilioni 16.2 kwenye harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, zilifanyika Mlimani city (CCM gala dinner 2025)

Je ni ishara ya imani na mshikamano kwa serikali kwamba wamefanyiwa makubwa?

Hivi wanapochangia wadau kama hawa wao mwishoni watapata nini hicho chama kikishinda?

Nahofia kwamba baadae watu kama hawa (wafanyabiashara, wachimbaji madini nk) wanaweza hata kukwepa kulipa kodi muhimu kwa taifa kwa sababu tu wameisaidia chama kushinda.

Sijui kwa nini chama hicho kihitaji mchango wakati ni wazi wamejiwekea kila kitu kiwe upande wao. Kuna jambo nyuma ya hii inayoitwa harambee.

Hata hivyo yana mwisho, time will tell.
 
Back
Top Bottom