Hivi wanapochangia wadau kama hawa wao mwishoni watapata nini hicho chama kikishinda?
Nahofia kwamba baadae watu kama hawa (wafanyabiashara, wachimbaji madini nk) wanaweza hata kukwepa kulipa kodi muhimu kwa taifa kwa sababu tu wameisaidia chama kushinda.
Sijui kwa nini chama hicho kihitaji mchango wakati ni wazi wamejiwekea kila kitu kiwe upande wao. Kuna jambo nyuma ya hii inayoitwa harambee.