Hao Ni wachina tu Sisi watu weusi hatusaminianiHabari wana jambi!
Wachimbaji wadogo waliopo kwenye mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita wamepewa siku sita wawe wameondoka katika mgodi huo.
Serikali inasema wawekezaji Wachimbaji hao wadugu wamekuwa wakichimba ki wizi ilihali serikali ilikua ikichukua kodi na mirahaba mingine lukuki.
Wachimbaji hao wamefukuzwa bila kupewa fidia yeyote kutokana na gharama walizo tumia kwa kigezo kua kuna Muwekezaji.
wachimbaji wadogowadogo baadhi yao ni wavamizi wa maeneo ya watu, wanataka kuvamia kwanza kisha wamilikishwe eneo kwa kigezo cha wingi wao, hawataki kufuata utaratibu wa kumiliki kwanza eneo kabla ya kuanza kuchimba.Watanzania kazi yao ni kugundua madini yalipo watapewa vibali vyote kwa kuendelea kuchimba huku Wenye Nchi wakitafuta wawekezaji wenza kimya kimya baadae Watanzania wanafukuzwa wanapewa wenye Nchi asili yao China maisha yanaendelea...Watanzania kwenye fursa ni kama wapangaji tu kwenye Nchi yao..
Hakuna sehemu utachimba bila vibali vya Serikali Mkuu..wachimbaji wadogo wanakua kama Mawakala wa kuwatafuta Wachina..wachimbaji wadogowadogo baadhi yao ni wavamizi wa maeneo ya watu, wanataka kuvamia kwanza kisha wamilikishwe eneo kwa kigezo cha wingi wao, hawataki kufuata utaratibu wa kumiliki kwanza eneo kabla ya kuanza kuchimba.
Hapa unataka kubishana na mtu ambaye nipo kwenye hyo industry kwa muda mrefu sana, mkuu wachimbaji wadogo wakishagundua sehemu kuna madini huwa hawaangaiki kujua kama eneo kuna mmiliki au la, wanachojua ni kuchimba tu, na ujue kabisa ugunduzi huwa unafanywa hata na mtu 1 au 2, ndo wengine wanakuja wakishasikia kuna sehemu kuna mlio.Hakuna sehemu utachimba bila vibali vya Serikali Mkuu..wachimbaji wadogo wanakua kama Mawakala wa kuwatafuta Wachina..
Okey Wachimbaji wadogo hao walipewa Leseni na serikali, pia serikali ilikua inachukua mirahaba cha ajabu zaidi serikali inadai ilidanganywa na Wachimbaji wadogo hadi wakawapa LeseniHapa unataka kubishana na mtu ambaye nipo kwenye hyo industry kwa muda mrefu sana, mkuu wachimbaji wadogo wakishagundua sehemu kuna madini huwa hawaangaiki kujua kama eneo kuna mmiliki au la, wanachojua ni kuchimba tu, na ujue kabisa ugunduzi huwa unafanywa hata na mtu 1 au 2, ndo wengine wanakuja wakishasikia kuna sehemu kuna mlio.
Mkuu hii taarifa niliwahi soma kwenye gazeti hawa wachimbaji wadogo walikua wanalipia na Leseni walikua nazo nazungumzia hii taarifa tuliyopata...Hapa unataka kubishana na mtu ambaye nipo kwenye hyo industry kwa muda mrefu sana, mkuu wachimbaji wadogo wakishagundua sehemu kuna madini huwa hawaangaiki kujua kama eneo kuna mmiliki au la, wanachojua ni kuchimba tu, na ujue kabisa ugunduzi huwa unafanywa hata na mtu 1 au 2, ndo wengine wanakuja wakishasikia kuna sehemu kuna mlio.
Hamna kitu kama hicho, leseni haitolewi kienyeji hvo, kuna database ya leseni zote tanzania, hakuna rmo anaweza toa leseni bila kujiridhisha pasi shaka kuwa eneo husika lipo wazi, na siku hz kuna mpaka kikao cha kuidhinisha utoaji wa leseni kinakaa mara mbili dodoma na kunahusisha mpaka mtendaji mkuu wa tume ya madini, washauri hao wachimbaji waende tume ya madini kama kuna janjajanja rmo anataka kufanya watajua tu, ila kusema wana leseni halali halafu wanafukuzwa huo ni uongo kabisa.Ok
Okey Wachimbaji wadogo hao walipewa Leseni na serikali, pia serikali ilikua inachukua mirahaba cha ajabu zaidi serikali inadai ilidanganywa na Wachimbaji wadogo hadi wakawapa Leseni
mkuu hakuna watu janjajanja kama wachimbaji wadogo, wakishavamia eneo wanataka liwe lao, kuna kitu watu wanachanganyaga, kulipa mrabaha hakualalishi wewe kumiliki eneo, unaweza ukawa unachhmba eneo kisilo lako ila kulipa mrabaha ni lazima.Mkuu hii taarifa niliwahi soma kwenye gazeti hawa wachimbaji wadogo walikua wanalipia na Leseni walikua nazo nazungumzia hii taarifa tuliyopata...
Useng£ mtupu , yaani nchi hii mwananchi anaonekana kama ngedereHabari wana jambi!
Wachimbaji wadogo waliopo kwenye mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita wamepewa siku sita wawe wameondoka katika mgodi huo.
Serikali inasema wawekezaji Wachimbaji hao wadugu wamekuwa wakichimba ki wizi ilihali serikali ilikua ikichukua kodi na mirahaba mingine lukuki.
Wachimbaji hao wamefukuzwa bila kupewa fidia yeyote kutokana na gharama walizo tumia kwa kigezo kua kuna Muwekezaji.
Sasa unaona ni sawa watu uwape Leseni ya uchimbaji harafu baadae uje uwatimue tuu ujanja ujanja upo kwa watu wengi wanaotafuta fedha Mkuu..hoja yangu ni kuwa Tanzania haijali Wananchi wake kwenye utafutaji wanawekewa mazingira magumu tu kila kukicha..mkuu hakuna watu janjajanja kama wachimbaji wadogo, wakishavamia eneo wanataka liwe lao, kuna kitu watu wanachanganyaga, kulipa mrabaha hakualalishi wewe kumiliki eneo, unaweza ukawa unachhmba eneo kisilo lako ila kulipa mrabaha ni lazima.
SIO HUKO MBOGWE KARIBU TANZANIA NZIMA,WANATIMULIWA KISA WAMEPATA WAWEKEZAJI,MAGUFULI ALIKUWA NA MABAYA YAKE LAKINI KATIKA HILI HAKUFUMBA MACHO ALITAKA WATANZANIA NDIO WACHIMBE NA SIO WAWEKEZAJI,HAKUNA NAMNA KWA SABABU UKIWA JEURI WATAKUUMIZA AU KUKUFUNGA AU KUKUUA HIVYO NI KUWAPISHA TU,Habari wana jambi!
Wachimbaji wadogo waliopo kwenye mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita wamepewa siku sita wawe wameondoka katika mgodi huo.
Serikali inasema wawekezaji Wachimbaji hao wadugu wamekuwa wakichimba ki wizi ilihali serikali ilikua ikichukua kodi na mirahaba mingine lukuki.
Wachimbaji hao wamefukuzwa bila kupewa fidia yeyote kutokana na gharama walizo tumia kwa kigezo kua kuna Muwekezaji.
hakuna mtu anaweza kukutimua kwenye leseni unayomiliki kihalali ya unalipa tozo zote, hamna sheria inayosema hvo, hao walikuwa hawana leseni period, na inawezekana wewe ni 1 wao, nipe namba ya leseni dk 5 tu nakuambia inamilikiwa na nani, au chukueni hyo leseni nendeni tume ya madini dodoma mkalalamike kuwa rmo anataka kuwanyang`anya leseni yenu halali ampe mchina muone kitakachomkuta huyo rmo, kama mnaogopa kwend tume, nyie ni wavamizi ondokeni.Sasa unaona ni sawa watu uwape Leseni ya uchimbaji harafu baadae uje uwatimue tuu ujanja ujanja upo kwa watu wengi wanaotafuta fedha Mkuu..hoja yangu ni kuwa Tanzania haijali Wananchi wake kwenye utafutaji wanawekewa mazingira magumu tu kila kukicha..
Na tanzania sehemu za madini zinagunduliwa na watu wa kawaida tuWatanzania kazi yao ni kugundua madini yalipo watapewa vibali vyote kwa kuendelea kuchimba huku Wenye Nchi wakitafuta wawekezaji wenza kimya kimya baadae Watanzania wanafukuzwa wanapewa wenye Nchi asili yao China maisha yanaendelea...Watanzania kwenye fursa ni kama wapangaji tu kwenye Nchi yao..
Mkuu tunapozungumzia matatizo ya Watanzania ni kwamba tunayajua kwa kuwa jamii yetu wapo humo ni Watanzania wachache watakwambia hawayajui matatizo ya wakulima hata kama wao sio wakulima hapo nadhani utakua umenielewa..hakuna mtu anaweza kukutimua kwenye leseni unayomiliki kihalali ya unalipa tozo zote, hamna sheria inayosema hvo, hao walikuwa hawana leseni period, na inawezekana wewe ni 1 wao, nipe namba ya leseni dk 5 tu nakuambia inamilikiwa na nani, au chukueni hyo leseni nendeni tume ya madini dodoma mkalalamike kuwa rmo anataka kuwanyang`anya leseni yenu halali ampe mchina muone kitakachomkuta huyo rmo, kama mnaogopa kwend tume, nyie ni wavamizi ondokeni.