Wachina bana, licha ya mapokezi yote hayo Tanzania, wanatoa kamsaada ka dola laki na nusu ($150,000)

So where are all those "wazarendo" who praised Jiwe for rejecting Chinese dealings now? Wakuu, it’s all about who initiated the contract and gets the “commission” and nothing to do with patriotism!
 
wacha kisonono,deal iliyokataliwa tokea china ni ya bandari.
 
hii ng'ombe imeshindwa hata kujua $150000 ni mchango wa ujenzi wa chuo[emoji23][emoji23].

budaaa,kilichomleta ni sign ya ukandarasi kipande cha SGR sio huo mchango,[emoji16][emoji16],pole lakini.
 
Kwa kutotosheka na hizo dola laki moja naona mnambembeleza asamehe deni lenu la kitambo lililoshindikana kulipa na hapo pia naona mumempa korosho sijui na vitu vingine vingi kama namna ya kumbembeleza, poleni sana yule ni beberu mbahiri sana, hizo bembeleza nyingi huwa hazimbadilishi hivi hivi tu.
 
hayo ni mawazo yako[emoji23][emoji23][emoji23].

unadhani kama mlibokolewa,basi nasisi ni wajinga kiasi hicho!!!uhusiano wa china na tz haujaanza leo.ndio maana pamoja na kuwapiga pin ya uwekezaji wa bandari bado tunashirikiana nao[emoji23][emoji23].

pole bana kwa maumivu.
 
Aisee!!! Wakenya ninaendelea kuwadharau sana.
Hii roho yenu hii, bora tuendelee kuwafinya tu.
 
hayo ni mawazo yako[emoji23][emoji23][emoji23].

unadhani kama mlibokolewa,basi nasisi ni wajinga kiasi hicho!!!uhusiano wa china na tz haujaanza leo.ndio maana pamoja na kuwapiga pin ya uwekezaji wa bandari bado tunashirikiana nao[emoji23][emoji23].

pole bana kwa maumivu.

Labda mumuachie anyofoe pembe za ndovu kadhaa ndio aongeze kitu kwenye hilo bakuli lenu la kuombea misaada.
 
msaada gani wewe nungu nungu[emoji23]

kandarasi aliyosaini analipwa na sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

pole mkuu.
 
Halafu ujue hako kamsaada ka laki moja ni chenji kwa Mchina ila kwenu mlikenua meno kweli kweli. Sema nitawaelewa maana omba omba huwa haamrishi apewe nini, kama ilivyo kwa hawa omba omba wa kutoka kwenu huko, huwa tunawasaidia bila wao kutuamrisha tuwape nini.
 
ulivyo samaki,pamoja na kukuelewesha bado hata huelewi,wote tunajua inawezekana kabisa ni pesa ya waziri mfukoni kwake.ni pesa ndogo sana ndio.

Halafu nyinyi ndio mliifata serikali nzima mkapewa tsh 800mln[emoji23][emoji23][emoji23], sisi ameileta waziri mwenyewe.
 
Ulivyo samaki,pamoja na kukuelewesha bado hata huelewi,wote tunajua inawezekana kabisa ni pesa ya waziri mfukoni kwake.ni pesa ndogo sana ndio.

Halafu nyinyi ndio mliifata serikali nzima mkapewa tsh 800mln[emoji23][emoji23][emoji23],sisi ameileta waziri mwenyewe.

Sasa mbwembwe zote hizo kwa dola laki moja chenji ya Mchina, nimekuambia hizo omba omba za sijui awasamehe deni la karne ya kale iliyoshindikana mngempa ndovu kadhaa anyofoe pembe kama mlivyokua mnafahamika kama taifa linaloongoza kwa ujangili wa wanyama pori.
 
Hivi marekani mwaka jana walivyotangaza kutoa msaada walitangaza misaada ya muunganiko wa miaka kadhaa nyuma.
 
Sasa mbwembwe zote hizo kwa dola laki moja chenji ya Mchina, nimekuambia hizo omba omba za sijui awasamehe deni la karne ya kale iliyoshindikana mngempa ndovu kadhaa anyofoe pembe kama mlivyokua mnafahamika kama taifa linaloongoza kwa ujangili wa wanyama pori.
Mbwembwe gani[emoji2][emoji2],umesahau serikali yote ya jubilee ilipokwenda kunywa supu ya jongoo china kisa 800mln tsh[emoji23][emoji23].kweli nyani haoni kundule.

As we told you,tofauti yenu na sisi ni matumizi sahihi ya akili tu,mngekuwa nyinyi mngetumia muda huo kuomba mkopo mwingine[emoji38][emoji38].

Kama demu malaya,anavyokuwa mwepesi kuchungulia pochi ya mteja wake,jamaa akijipendekeza tu kapigwa kibomu(njaa inauma sijala)[emoji1787][emoji1787].
 
mbwembwe gani[emoji2][emoji2],umesahau serikali yote ya jubilee ilipokwenda kunywa supu ya jongoo china kisa 800mln tsh[emoji23][emoji23].kweli nyani haoni kundule.

as we told you,tofauti yenu na sisi ni matumizi sahihi ya akili tu,mngekuwa nyinyi mngetumia muda huo kuomba mkopo mwingine[emoji38][emoji38].

kama demu malaya,anavyokuwa mwepesi kuchungulia pochi ya mteja wake,jamaa akijipendekeza tu kapigwa kibomu(njaa inauma sijala)[emoji1787][emoji1787].

Sijaelewa unachobwabwaja ila nawashauri muwape jamaa tembo kadhaa ili waachie chenji zaidi.
 
pole bana,nayinyi mtawapea nini[emoji38][emoji38][emoji38]

labda mshushe suruali[emoji23][emoji23]
 
Sisi wajanja ni vigumu kwa nchi yetu kuwa shamba la bibi, na ndio maana unaona uchumi wetu unazidi wenu mara mbili licha ya kuwa hatuna raslimali hata madini.
 
uchumi uko mara mbili mnashindwa hata kulipa mishahara ya madactari[emoji38][emoji38][emoji38].

kachunguze mkataba wa sgr ya makumbusho ya china uone ujanja wenu uko katka nini[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom