uchumi uko mara mbili mnashindwa hata kulipa mishahara ya madactari[emoji38][emoji38][emoji38].
kachunguze mkataba wa sgr ya makumbusho ya china uone ujanja wenu uko katka nini[emoji28][emoji28][emoji28]
nimekubali uko tipple ila nashangaa kwanini hauwezi hata kugharamia 2km ya barabara mpaka mkope[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Itakua wewe sio mfuatiliaji wa taarifa za Kenya japo huwa unajitutumua kujibu comments za kila Mkenya humu. Uchumi wetu umefaulu kupiga wenu double double....
nimekubali uko tipple ila nashangaa kwanini hauwezi hata kugharamia 2km ya barabara mpaka mkope[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
mpaka barabara za ndani ya jiji lenu mmekopa wananchi wajinga kama MK254,watalipia kupita,[emoji38][emoji38][emoji38].
am very sorry kwa wakenya jamani[emoji58][emoji58][emoji58].
Kwa mfano wewe ulitaka watoe kiasi gani kusaidia chuo? Unavotaka wewe ikiwa sehemu inahitaji mfuko mmoja wa saruji, upewe mifuko 3000 ndio useme umesaidiwa au kuwa aliekupa sio baghili?Wamepokewa kwa mbwembwe zote hizo halafu kwenye bakuli la msaada wanatia dola laki moja, hizo hata zikidadavuliwa vizuri zitagharamikia tu mapokezi, mbona Wachina wamekua wabahiri hivi.
hata mtuzidi mara 6 kama mnashindwa vitu basic kama mishahara ya watumishi,nyinyi ni mbuzi tu na uchumi wenu wa kuchora[emoji38][emoji38].Bado unabwabwaja usichokijua, ila kimsingi na muhimu uhumi wetu sasa ni mara mbili ya wa kwenu.
Kwa mfano wewe ulitaka watoe kiasi gani kusaidia chuo? Unavotaka wewe ikiwa sehemu inahitaji mfuko mmoja wa saruji, upewe mifuko 3000 ndio useme umesaidiwa au kuwa aliekupa sio baghili?
hata mtuzidi mara 6 kama mnashindwa vitu basic kama mishahara ya watumishi,nyinyi ni mbuzi tu na uchumi wenu wa kuchora[emoji38][emoji38].
yani hatoshi hata kununua mbunge mmoja wa upinzani.Wamepokewa kwa mbwembwe zote hizo halafu kwenye bakuli la msaada wanatia dola laki moja, hizo hata zikidadavuliwa vizuri zitagharamikia tu mapokezi, mbona Wachina wamekua wabahiri hivi.
=========
Dar es Salaam. Serikali ya China imekabidhi msaada wa dola za Marekani 1,50000 kwa ajili ya kuendeleza fani ya uvuvi katika chuo cha kisasa cha Ufundis Stadi (Veta) kilichopo Chato mkoani Geita.
Msaada huo ulitolewa leo Ahamisi Januari 7, 2020 na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi muda mfupi baada ya kuzindua chuo hicho akishirikiana na Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako.
Yi ambaye yupo katika ziara kwenye bara la Afrika atakuwa Tanzania kwa siku mbili amewasili leo na katika uwanja wa Ndege wa Chato-Geita na kupokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Profesa Palamagamba Kabudi.
Akiwa katika chuo hicho cha Veta, YI amesema “China itaendelea kuisadia vyuo vya ufundi stadi na kwa niaba ya Serikali ya China natoa msaada wa fedha za China Sh 1milioni,”
“Rais wa Tanzania amejenga vyuo vingi vya ufundi katika mikoa mbalimbali kikiwamo hiki cha Chato. China pia inajisikia faraja kujenga vyuo vya ufundi kikiwamo cha Kagera ambacho kikikamirika kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 1,000 pamoja na programu zote,” amesema Yi huku akishangiliwa.
Yi amewahikikisha Watanzania kuwa balozi wa nchi hiyo ataendelea kuwepo Tanzania na kwamba endapo chuo cha Veta kitahitaji mahitaji yoyote kimwambie huku akisema Tanzania ili isonge na kupata mafanikio inahitaji vijana wengi wenye ujuzi.
“China na Tanzania ni marafiki wakubwa duniani, najisikia furaha kuzindua jengo hili,” amesema Yi ambaye pia ni mwanadiplomasia na mjumbe wa kamati ya kitaifa ya China.
China yatoa Sh345 milioni kusaidia fani ya uvuvi Veta Chato
Serikali ya China imekabidhi msaada wa dola za Marekani 1,50000 kwa ajili ya kuendeleza fani ya uvuvi katika chuo cha kisasa cha Ufundis Stadi (Veta) kilichopo Chato mkoani Geita.www.mwananchi.co.tz
haijwahi kutokea mkashindwa kulipa madaktari????unaropoka au unaandika kwa kushirikisha ubongo!!!Haijaawahi kutokea tukashindwa, watumishi wetu wanalipwa mara mbili ya wa kwenu katika kila ngazi, iwe daktari au waalimu....ndio maana ya uchumi wetu kuwa mara mbili ya wa kwenu, kile haujafahamu ni kwamba kwetu huku kuna uhuru wa kupiga makelele ya kuongezwa mishahara, na ndio maana mara moja moja huwa mnayaskia, tofauti na kwenu huko makelele huwa tunaona tu kwenye mitandao ya kijamii lakini hakuna mwenye jeuri ya kusema huko nje.....kuna kipindi madaktari wenu waligoma nakumbuka kilichomtokea kiongozi wao hatawahi kusahau.
Huwa naona Watz wanalalamika tu kwenye mitandao kwamba hawajaongezwa chochote miaka yote hii.
haijwahi kutokea mkashindwa kulipa madaktari????unaropoka au unaandika kwa kushirikisha ubongo!!!
miezi mitatu tu iliyopita mauguzi na madactari wamegoma kwa kukosa mishahara zaidi ya miezi 6[emoji23][emoji23][emoji23]nchi ya double economy.
sisi tuna mishahara midogo kuwazidi,ila matumizi ya pesa hiyo yakoje!!!ndio maana tunasisitiza nguvu ya pesa kwenye matumizi.na si kweli kama mnalipa watumishi wenu mara mbili yetu,huo ni uongo.
halafu uhuru wa kupiga kelele hata huku upo,tofauti ni moja,nyinyi kwenye mnadai mishahara sisi tunadai nyongeza[emoji28][emoji28],hizo kelele haziezi fanana[emoji23][emoji23][emoji23].lazima nyingine zisikike zaidi.
sijui chochote kuhusu kenya na unasifu kila kitu mnatangaza hadharani!!!huoni unajipinga!!Ndio maana nimekuambia haujui chochote kuhusu Kenya, unategemea porojo za vijiweni, hawakugoma kwa kukosa mishahara, ila kwa kutaka waongezwe mishahara na marupurupu, kitu ambacho kwenu haiwezekani, ukithubutu kugoma au kusikika unadai uongezwe mishahara unapotezwa kama yule daktari kipindi kile.
Kwa nchi huru na yenye uchumi mkubwa kama Kenya ni kawaida kwa watumishi kupiga makelele waendelee kuongezwa mishahara.
sijui chochote kuhusu kenya na unasifu kila kitu mnatangaza hadharani!!!huoni unajipinga!!
halafu mna mishahara mara 2 kutuzidi,vilio daily vya nini???
wewe unakomaa sijui umejuaje sijui[emoji38][emoji38][emoji38]au nikupe ushahidi kwamba najua??Tatizo unapinga bila kujua, wanaofahamu tunawazidi mara mbili wanapita kimya...
wewe unakomaa sijui umejuaje sijui[emoji38][emoji38][emoji38]au nikupe ushahidi kwamba najua??
ushaparamia gia nyingine[emoji38][emoji38][emoji38].Wana Lumumba mnaitwa huku, maana taifa maskini haipaswi ukuaji wa uchumi wenu ushuke kiasi hiki
Uchumi wa tz ulikua kwa 2.5% 2020, Tunadanganywa!
Benki ya Dunia (WB) imesema uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa 5.5% kwa mwaka 2021, kutoka 2.5% ya mwaka 2020. Ongezeko hilo limechangiwa na dunia kuendelea kujikwamua kutoka kwenye athari za #COVID19. Serikali ya Tanzania ilikadiria uchumi wake utakua kwa 5.5% mwaka 2020.www.jamiiforums.com