Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Juzi kati kulikua na Malaysia Auto Show, kuanzia tarehe 22 May hadi tarehe 26 May. Kuna baadhi ya chuma zimezinduliwa ila hii ilinivutia.
Aion sub brand ya CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV EV gari linalofanana na Tesla Model X kwa $54,000 tu, performance model.
Mfanano hauishii umbo la nje tu, hadi infamous Falcon doors ambazo ni moja ya unique feature ya Tesla Model X pia imecopiwa.
Hii ya juu ni Tesla, ikiwa imefungua milango yetu na cheki chini sasa.
Kwa ndani, gari ina screen inch 14 katikati na digital cluster ya 8.8 inch zote zina run Qualcomm Snapdragon SoC.
Kuhusu range, kuna option ya 550km na 600km na pia high performance zipo za 670km na 825km.
Mwenye pesa ataileta.