Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei zake mlimaKuna BYD Shark na BYD Yangwang nazikubali sana
Serikali ya China inaweza kupanga mipango na ikaitekeleza. Mfumo wa serikali za magharibi inafanya iwe vigumu sana kufanya hivyo, watazidi kuachwa mbali kwenye kila sekta.Xi Jinping kwa mara ya kwanza mwaka 2014 alitaka viwanda vya magari viwekeze kwenye EVs
Nobody in mainstream media cared
Mwaka huo walitengeneza magari 75,000 tu
Sasa hivi China wameliteka soko la EVs
Never underestimate China’s vision and determination.
Sasa hivi ambition na vision iko kwenye semiconductors. Yajayo yanafurahisha
Umesema vyemaSerikali ya China inaweza kupanga mipango na ikaitekeleza. Mfumo wa serikali za magharibi inafanya iwe vigumu sana kufanya hivyo, watazidi kuachwa mbali kwenye kila sekta.
Hao jamaa wanaitwa 'The samwer brothers.'Na ndo tunachotakiwa kufanya,hakuna sababu ya kuanza upya wakati Kuna watu washafanya all the leg work, ni mwendo wa kukomaa humohumo, hata sisi ingebidi tuwe kama wachina tuanze ku copy na ku paste tu hizo product zote mpaka ifike mahali tuweze, sio kuhangaika kuzindua midoli sijui sanamu kama lile la bunge, au magari kama ya kipanya Haina tija tena
Kuna jamaa watatu ni ndugu us Wana utajiri wa kufuru kisa kutengeneza clones tu, walianza kutengeneza clone ya Google search engine, google walivyoona inapata sana watumiaji wakaona heri nusu Shari wakawaita wakainunua kwa Dola zaidi ya milioni Moja
Jamaa wakatengeneza clone ya Facebook, baadaye Facebook nao wakawanunua kwa Dola milioni 140
Wame clone vitu vingi sana, nilikua naangalia interview Yao majuzi wakawa wanahimiza hakuna haja ya kujitesa kuanza upya ilhali Kuna watu wameshajitesa na kugundua kitu, we anzia hapo hapo walipoishia uendelee mbele
Nikipata wasaa ntashusha video huku, big up mchina..... Na tumshukuru sana, hizi Jordan za elfu 70 mpaka laki tunazovaa huko US hakuna kitu kama hicho, Jordan kuuzwa Dola 1000-4000 ni jambo kwao lishakua la kawaida, bila mchina tusingeweza kumudu vitu vingi sana
Achana na hiyo copy ya model x, BYD ndio baba lao huko china kwa kutoa vitu vikali cheki hii kitu, nasikia ni 150,000usdJuzi kati kulikua na Malaysia Auto Show, kuanzia tarehe 22 May hadi tarehe 26 May. Kuna baadhi ya chuma zimezinduliwa ila hii ilinivutia.
Aion sub brand ya CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV EV gari linalofanana na Tesla Model X kwa $54,000 tu, performance model.
View attachment 3001903
Mfanano hauishii umbo la nje tu, hadi infamous Falcon doors ambazo ni moja ya unique feature ya Tesla Model X pia imecopiwa.
View attachment 3001904
Hii ya juu ni Tesla, ikiwa imefungua milango yetu na cheki chini sasa.
View attachment 3001905
Kwa ndani, gari ina screen inch 14 katikati na digital cluster ya 8.8 inch zote zina run Qualcomm Snapdragon SoC.
View attachment 3001907
Kuhusu range, kuna option ya 550km na 600km na pia high performance zipo za 670km na 825km.
Mwenye pesa ataileta.
Achana na hiyo copy ya model x, BYD ndio baba lao huko china kwa kutoa vitu vikali cheki hii kitu, nasikia ni 150,000usd
View: https://www.facebook.com/reel/990161322648080?s=yWDuG2&fs=e&mibextid=Nif5oz