Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei

Huwa najiuliza hivi hakuna hukumu zinazohusiana na mambo ya trade mark au kuna malipo huwa yanalipwa kutokana na ku copy?maana wachina cannot make their own.
 
Serikali ya China inaweza kupanga mipango na ikaitekeleza. Mfumo wa serikali za magharibi inafanya iwe vigumu sana kufanya hivyo, watazidi kuachwa mbali kwenye kila sekta.
 
Hao jamaa wanaitwa 'The samwer brothers.'
 
Achana na hiyo copy ya model x, BYD ndio baba lao huko china kwa kutoa vitu vikali cheki hii kitu, nasikia ni 150,000usd


https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/990161322648080?s=yWDuG2&fs=e&mibextid=Nif5oz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…