#COVID19 Wachina hawataki Lockdown wadai COVID-19 ni usanii tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Shujaa Magufuli anakumbukwa na Wengi ikiwemo huko China japo hawamtaji moja kwa moja lakini baadhi ya Wachina wamesema Tanzania ilifuata njia sahihi za kuwatuliza kisaikolojia Watu wake kwa sababu Covid 19 ni usanii tu wa kidunia

Hili ni kundi la pili kumkumbuka Shujaa baada ya Lema wa Chadema naye kumkiri

Dominica njema!
 
Kufa ni njia sahihi ya kila mja kurudi kwa muumba wake lakini hiki cha mwamba JPM kinahitaji kuchunguzwa, hata ikiwa miaka 50 itabidi kichunguzwe ili ibainike bayana.

Kwa sasa kila aliye na a, b, c zake kikubwa ajitahidi kuziweka pa salalma ili muda ukifika ziisaidie nchi yetu
 
Kufa ni sahihi ya kila mja kurudi kwa muumba wake lakini hiki cha mwamba JPM kinahitaji kuchunguzwa, hata ikiwa miaka 50 itabidi kichunguzwe ili ibainike bayana.

hakika mkuu mwenye ushahidi wa kutosha atunze siku ipo na litafanyiwa kaz
 
Kwamba mwanzo wa wazo la lockdown ilianza wapi? au Kuna usanii anafanyiwa Uchina? na Nani Sasa ambae ni mkubwa kuliko Uchina
 
Kufa ni sahihi ya kila mja kurudi kwa muumba wake lakini hiki cha mwamba JPM kinahitaji kuchunguzwa, hata ikiwa miaka 50 itabidi kichunguzwe ili ibainike bayana.

Kwa sasa kila aliye na a, b, c zake kikubwa ajitahidi kuziweka pa salalma ili muda ukifika ziisaidie nchi yetu

Hakuna mtu ana time za kuchunguza mkuu. Serikali ime move on na shughuli zingine. Hizo irrelevant subject hazitosaidia lolote
 
Shujaa Magufuli anakumbukwa na Wengi ikiwemo huko China japo hawamtaji moja kwa moja lakini baadhi ya Wachina wamesema Tanzania ilifuata njia sahihi za kuwatuliza kisaikolojia Watu wake kwa sababu Covid 19 ni usanii tu wa kidunia

Hili ni kundi la pili Mumkumbuka Shujaa baada ya Lema wa Chadema naye kumkiri

Dominica njema!
Halafu shujaa akafa kw@ covid!
 
Watakua wachina wa Nyololo hao.Wachina wapo very serious na corona.Hao wa kwako watakuwa wa Magulilwa,Pembelwasenga au Mdabulo.
 
Kama kuna jambo nilimuunga mkono jiwe ni hili la covid-19. Nilimpa na naendelea kumpa big up jini jiwe.

Hata kabla hajafa niliandika haya;-

Ulikuwa kajinga.Tubu.
 
Hakuna mtu ana time za kuchunguza mkuu. Serikali ime move on na shughuli zingine. Hizo irrelevant subject hazitosaidia lolote
Utakuwa mgeni hapa duniani, unaelewa hadi leo kifo cha Kristo kinaongelewa na watu wanaendela kutafuta kumfahamu?

Kifo cha mwanadamu hakiwezi kuwa sawa na kifo cha mbuzi. Na nikufahaamishe tu, wakati wewe una hesabu za leo watu wana hesabu za miaka 20/30 ijayo. Unahitaji kuwa na spidi ya mwanga kuyaona ya miaka 30 ijayo ama la wewe ni wa kula na kuishi kwa ajiri ya leo ..kama kuku!
 
Kama kuna jambo nilimuunga mkono jiwe ni hili la covid-19. Nilimpa na naendelea kumpa big up jini jiwe.

Hata kabla hajafa niliandika haya;-

Eti jini jiwe!😃😃😃
 
Shujaa Magufuli anakumbukwa na Wengi ikiwemo huko China japo hawamtaji moja kwa moja lakini baadhi ya Wachina wamesema Tanzania ilifuata njia sahihi za kuwatuliza kisaikolojia Watu wake kwa sababu Covid 19 ni usanii tu wa kidunia

Hili ni kundi la pili kumkumbuka Shujaa baada ya Lema wa Chadema naye kumkiri

Dominica njema!
Mbona sasa yeye Magufuli alikufa kwa coronavirus hiyo hiyo ambayo mnamsifia?
 
Back
Top Bottom