johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
hakika mkuu mwenye ushahidi wa kutosha atunze siku ipo na litafanyiwa kazKufa ni sahihi ya kila mja kurudi kwa muumba wake lakini hiki cha mwamba JPM kinahitaji kuchunguzwa, hata ikiwa miaka 50 itabidi kichunguzwe ili ibainike bayana.
Kwa sasa kila aliye na a, b, c zake kikubwa ajitahidi kuziweka pa salalma ili muda ukifika ziisaidie nchi yetu
Kufa ni sahihi ya kila mja kurudi kwa muumba wake lakini hiki cha mwamba JPM kinahitaji kuchunguzwa, hata ikiwa miaka 50 itabidi kichunguzwe ili ibainike bayana.
Kwa sasa kila aliye na a, b, c zake kikubwa ajitahidi kuziweka pa salalma ili muda ukifika ziisaidie nchi yetu
Halafu shujaa akafa kw@ covid!Shujaa Magufuli anakumbukwa na Wengi ikiwemo huko China japo hawamtaji moja kwa moja lakini baadhi ya Wachina wamesema Tanzania ilifuata njia sahihi za kuwatuliza kisaikolojia Watu wake kwa sababu Covid 19 ni usanii tu wa kidunia
Hili ni kundi la pili Mumkumbuka Shujaa baada ya Lema wa Chadema naye kumkiri
Dominica njema!
Watakua wachina wa Nyololo hao.Wachina wapo very serious na corona.Hao wa kwako watakuwa wa Magulilwa,Pembelwasenga au Mdabulo.Shujaa Magufuli anakumbukwa na Wengi ikiwemo huko China japo hawamtaji moja kwa moja lakini baadhi ya Wachina wamesema Tanzania ilifuata njia sahihi za kuwatuliza kisaikolojia Watu wake kwa sababu Covid 19 ni usanii tu wa kidunia
Hili ni kundi la pili Mumkumbuka Shujaa baada ya Lema wa Chadema naye kumkiri
Dominica njema!
Ndio nafuatilia hapa kupitia Al jazeeraWatakua wachina wa Nyololo hao.Wachina wapo very serious na corona.Hao wa kwako watakuwa wa Magulilwa,Pembelwasenga au Mdabulo.
Ulikuwa kajinga.Tubu.Kama kuna jambo nilimuunga mkono jiwe ni hili la covid-19. Nilimpa na naendelea kumpa big up jini jiwe.
Hata kabla hajafa niliandika haya;-
Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpaka leo hakuna kinga, ukimwi...www.jamiiforums.com
Halafu shujaa akafa kw@ covid!
Utakuwa mgeni hapa duniani, unaelewa hadi leo kifo cha Kristo kinaongelewa na watu wanaendela kutafuta kumfahamu?Hakuna mtu ana time za kuchunguza mkuu. Serikali ime move on na shughuli zingine. Hizo irrelevant subject hazitosaidia lolote
Eti jini jiwe!πππKama kuna jambo nilimuunga mkono jiwe ni hili la covid-19. Nilimpa na naendelea kumpa big up jini jiwe.
Hata kabla hajafa niliandika haya;-
Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpaka leo hakuna kinga, ukimwi...www.jamiiforums.com
Kwa kifo chake tuliponywaHalafu shujaa akafa kw@ covid!
Mbona sasa yeye Magufuli alikufa kwa coronavirus hiyo hiyo ambayo mnamsifia?Shujaa Magufuli anakumbukwa na Wengi ikiwemo huko China japo hawamtaji moja kwa moja lakini baadhi ya Wachina wamesema Tanzania ilifuata njia sahihi za kuwatuliza kisaikolojia Watu wake kwa sababu Covid 19 ni usanii tu wa kidunia
Hili ni kundi la pili kumkumbuka Shujaa baada ya Lema wa Chadema naye kumkiri
Dominica njema!
Ulimuambukiza wewe?Mbona sasa yeye Magufuli alikufa kwa coronavirus hiyo hiyo ambayo mnamsifia?
Hali ni tete kama IranNgoja tuone haya maandamano yatafikia wapi