The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kapicha basi ka kipara swafi kabisa ili tuone matokeo ya hiyo cream.Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
😎😎