The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kapicha basi ka kipara swafi kabisa ili tuone matokeo ya hiyo cream.Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Ile safari ya kule kwenye miti miti utaona 😁Kapicha basi ka kipara swafi kabisa ili tuone matokeo ya hiyo cream.
😎😎
Dah! una memory nzuri sana,Ile safari ya kule kwenye miti miti utaona 😁
TOPAZ ilikuwa ni ya kipeekee unachoronga vu$zi zotee
Harafu mnakataa wawekezaji wakati hakuna mnachojua,Sasa mtajuaje kama hutaki ijifunze Kwa anaejua?Nchi hai product hata sindano duuh nchi ngumu sana hii
yani nipake ubo wangu cream,labda nimelogwa
Weka video kwa faida ya members...Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Shemeji 🙄Weka video kwa msaada wa members...
Ume mention inachukua dakika tano, fanya dakika mbili na nusu tu, itawasiaida sana...Shemeji 🙄
Mbona nakumbuka kama nilim quote Evelyn SaltYani unataka nikuoneshe vuzi langu?
Tatizo dongo la wembe linafuatiwa na miwasho na mipele, afu punani inakuwa nyeusi🤣Kwa wapenda madongo kuna tofauti kubwa mno baina ya dongo la shaver na dongo la kiwembe.
Ingia kariakoo, vipo za kila aina Kwa uchumi wako.Zinapatikana wapi mkuu? Mlimani City shaver na groomer ya kueleweka ni kuanzia 380K
sifanyi huo ujinga380,000 Tsh mkuu.
kwani unauzoefu gani hadi ustajabu hili bibie,Kwani nywele zinaota hadi kwe ub*o au mimi ni mgeni mnifungue macho[emoji28][emoji28]
Jamani WaTz tuwe na viwango. Tutakuwa watu wa aina gani kama kila takataka kwetu ni sawa tu?Mkuu,hadi kiwembe unazingatia brand [emoji119][emoji119]
Sasa akili zipo sasa kila mtu chukua chako mapema[emoji43]Jamani WaTz tuwe na viwango. Tutakuwa watu wa aina gani kama kila takataka kwetu ni sawa tu?
ukikatia kucha sasa. yaani kucha moja tu makali kwishaa pande zote😅😅😁Kwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu
Inachoma ile kitu acha kabisa,kuna siku nimepaka korodani ziliungua hatari.yani nipake ubo wangu cream,labda nimelogwa