Wachina huu sio ujanja

Hivi hiyo mikunjo ya huo uwazi aa katikati ni lazima iwe hivyo? Haiwezi kuwa shape nyingine?
Huo uwaz ni kwa sababu ya kibana wembe, hapo kale- mpaka sasaa kunahitajika shimo la kati kwa ajili ya kukaza na mawili pembeni kusuport wembe kwenye kinyoleo. Ni ngumu kuacha mambo ya kale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…