Wachina huu sio ujanja

Wachina huu sio ujanja

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Hivi wachina mbonaa wanatusababishia hasara, ona leo nataka ninunue wembe wa dorco nimeishia kununua sijui ushenzi gani.


Screenshot_20230619_171113_Google.jpg

20230619_170927.jpg
 
Ivi wachina mbonaa wanatusababishia hasara, ona leo nataka ninunue wembe wa dorco nimeishia kununua sijui ushenzi gani.


View attachment 2662408
View attachment 2662411
Haya maisha bhana.
Hawa watu wanazingua sana kuharibu brand za wenzao.

Ila nazidi kujifunza kuwa, kwenye hii dunia yetu usisubirie nafasi ikufuate, unaichukua mwenyewe hata kwa kunyan'anya.
 
😅😅😁Kwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu
Hahaha hajui huyo watu tuna nywele ngumuu ka steel wire
Nchi hai product hata sindano duuh nchi ngumu sana hii
Shidaa huyu mchina ataigaa cover
 
huwa najiuliza sana
hivi kusambaa kwa bidhaa nyingi ambazo ni low quality au fake kabisaa shida ni wafanyabiashara kutaka faida kubwa au wanunuzi kupenda vya bei nafuu

naona hata zile simu feki zilizofungiwa miaka kadhaa nyuma zimeanza kurudi kwa kasi
 
😅😅😁Kwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
 
Back
Top Bottom