Wachina kujazana Marekani

Wachina kujazana Marekani

Wachina walivyojazana kwenye mitaa ya Marekani wakipiga deiwaka, kwenu mnaoijua mitaa ya China nako Wamarekani wamejazana huko?
Inawezekana hujui hata umeandika nini, Bruce Lee ni Mmarekani na kaburi lake lipo Marekani.

Ukijuwa population ya Wahindi na Wachina huwezi kuandika huu ujinga kushangaa watu hawa kuwepo duniani kote.

Marekani kuna Chines town, hii maana yake ni jamii inayotambulika Marekani.
 
Username yako imeanza na Dr. na kumalizia PhD. Katikati kuna Matola. Kijijini kwetu Matola ni mavi.
Mzee si ungeuliza? Kwani kuwepo Wachina-Wamarekani kunazuia Wachina wasioWamarekani kwenda kutafuta maisha? Kama unahitaji nyama zaidi kwenye andiko langu si ungeuliza? Poor Makimba.
 
Hujamjibu ila umemjibu kishabiki tu. China pamoja na kuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani lakini watu wake wengi sana bado wanaishi chini ya mstari wa umaskini na ndio maana wengine wanakuja hata kufanya umachinga huku kwetu.

Wakati huohuo serikali yao eti inahangaika kutafuta namna ya kutaka kwenda mwezini. Bure kabisa.
 
Utanisamehe kama ntakuhudh inaonekana unatumia akili za kukalilishwa vitu vingine jiongeze au jiulize mtu unamuita maskini hiyo unaemuita maskini anawezajepata nauli ya kutoka china to tanzania kupiga uchinga bado unaamini wale ni machinga kweli toka usingizini wengine wanaviwanda feki wengine nimakala wanatumwa kuja bongo kusona tamafuni na uzaifu wetu kisha wanatuletea matilio feki kisa wameyapamba leo ukienda kwenye sebule ya tajili utakuta kabati feki kisa imenakshiwa lakini ile og ya ubao wetu og hatuitaki sisi bado sana kumuita mchina machinga bongo
 
Kwahiyo unataka tuwaite wawekezaji hawa wanaoleta ma dude ya kamali yale? Hao ni wababaishaji tu hata kama kwao wametuzidi uchumi.

Taifa letu bado halina ufuatiliaji wa karibu wachina machinga wapo kibao hapo K.koo huo ndio ukweli.
 
China ni kati ya taifa ambalo watu wake wanatoka sana kusaka fursa, labda kwasababu population ni kubwa wangekuwa si watokaji ingekuwa chaos huko kwao.

Sio huku kwetu tu, angalia population ya wachina Australia, karibia kila mji wao mkubwa una China town.
 
Username yako imeanza na Dr. na kumalizia PhD. Katikati kuna Matola. Kijijini kwetu Matola ni mavi.
Mzee si ungeuliza? Kwani kuwepo Wachina-Wamarekani kunazuia Wachina wasioWamarekani kwenda kutafuta maisha? Kama unahitaji nyama zaidi kwenye andiko langu si ungeuliza? Poor Makimba.
Kwani lengo la hii thd yako ni lipi hasa?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Username yako imeanza na Dr. na kumalizia PhD. Katikati kuna Matola. Kijijini kwetu Matola ni mavi.
Mzee si ungeuliza? Kwani kuwepo Wachina-Wamarekani kunazuia Wachina wasioWamarekani kwenda kutafuta maisha? Kama unahitaji nyama zaidi kwenye andiko langu si ungeuliza? Poor Makimba.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujamjibu ila umemjibu kishabiki tu. China pamoja na kuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani lakini watu wake wengi sana bado wanaishi chini ya mstari wa umaskini na ndio maana wengine wanakuja hata kufanya umachinga huku kwetu.

Wakati huohuo serikali yao eti inahangaika kutafuta namna ya kutaka kwenda mwezini. Bure kabisa.
Watu wengi huamini China maisha ni poa kwa kuangalia Shanghai, Hongkong, Macau, Guangzhou, Yiwu

Nenda ndani ndani huko utajua uhalisia wa maisha ulivyo mgumu, kwanza hata stendi ni vumbi
 
Inawezekana hujui hata umeandika nini, Bruce Lee ni Mmarekani na kaburi lake lipo Marekani.

Ukijuwa population ya Wahindi na Wachina huwezi kuandika huu ujinga kushangaa watu hawa kuwepo duniani kote.

Marekani kuna Chines town, hii maana yake ni jamii inayotambulika Marekani.
Hv umeelewa kwanza thread ? Kwann marekan hakuna american town ? Hv hao wachina wa marekan asili yao ni marekan ? Kwann walitoka kwao wakaenda Marekan ? Hilo ndo swali
 
Raia wa marekani wapo China lakini population haiwezi fanana na Chinese people waliopo US kwa sababu China ina watu wengi tofauti na US.
Mbona sisi tupo china wengi kuliko wachina waliopo Bongo ? Ukipata jibu utaelewa ulichojibu hapo bado sio jibu la mwisho , watu hawajazan sehem bila mpango
 
Nmekosoa jibu lako , so tafuta jibu jingine la kuwafanya wachina kuwa wengi ndan ya USA kuliko wa USA kuwa wengi huko China
Sasa kama wewe huna jibu kwa nini wasema maoni yangu sio sahihi ?

Man this is 幼稚的
 
Sijaelewa lengo la huu uzi ni nini? 🤔

Ok ila asante kwa kutuhabarisha kuwa kuna Wachina wengi huko Marekani wanapiga kazi kutengeneza pesa

Mtoto wa kiume unashangaa kumuona mwanamume mwenzako anahustle kutengeneza pesa nje ya nchi yake? Imenifikirisha sana 🤔🤔🤔
 
maana wengine wanakuja hata kufanya umachinga huku kwetu.
Mimi binafsi sijawahi kumuona Mchina mmachinga K/koo zaidi ya wao kuja na bidhaa na kufanya kazi na wafanyabiashara Watanzania mfano kama za commission.

Mchina anakuja na kontena la nguo au viatu au vifaa vya kielektroniki kuja kufanya biashara huyo ni masikini kweli?

Wenzetu ni watu wa kutafuta fursa labda uzi huu uwe somo kwetu jinsi ya kutafuta fursa na kupiga kazi kwa bidii kama Wachina
 
Wakati huohuo serikali yao eti inahangaika kutafuta namna ya kutaka kwenda mwezini
Wachina walishapeleka spacecraft mwezini wanachotaka sasa ni kumpeleka binadamu mwezini.

Kwa usiojua umuhimu wa hizi spacecraft na space stations huko juu angani ni ngumu kuelewa kwa nini mataifa yanatumia billions of dollars kwa ajili ya space programs, sio wajinga

Government expenditure on space programs, 2022:

🇺🇲USA: $61.97 billion
🇨🇳China: $11.94b
🇯🇵Japan: $4.90b
🇫🇷France: $4.20b
🇷🇺Russia: $3.42b
🇩🇪Germany: $2.53b
🇮🇳India: $1.93b
🇮🇹Italy: $1.74b
🇬🇧UK: $1.15b
🇰🇷South Korea: $0.72b
🇨🇦Canada: $0.54b
🇦🇺Australia: $0.43b
🇪🇸Spain: $0.42b
 
Back
Top Bottom