Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajijua kama unaongea pumba?Kuna mgeni mzungu aliwahi kukamatwa na uhamiaji kisa vibali vya kazi, hiyo ilitokea baada ya kuchongewa.
Sasa ile wanaongozana naye, akasema "I am American", aisei ghafla upepo ukabadilika, wale maofisa wakanywea balaa na kumuambia jameni hatujakukamata, tutakusaidia uombe vibali, na kweli wakamsaidia, ila mwanzoni walikua wanampelekesha balaa.
Kuwa raia wa Marekani ni hadhi ya juu, hata wanawake wengi matajiri huenda kuzalia huko ili watoto wawe na uraia moja kwa moja.
Kwa hiyo unamaanisha China hali ni mbaya kuliko hapa Tanzania?Wachina wanakuja Bongo maana kwao huko hali mbaya
Upanga kuna wamarekani Weusi wengi tu, Asilimia 28 ya wa Marekani ni masikini pia.Hujamjibu ila umemjibu kishabiki tu. China pamoja na kuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani lakini watu wake wengi sana bado wanaishi chini ya mstari wa umaskini na ndio maana wengine wanakuja hata kufanya umachinga huku kwetu.
Wakati huohuo serikali yao eti inahangaika kutafuta namna ya kutaka kwenda mwezini. Bure kabisa.
Huyo MK254 sio mzima muongo muongo sana hamna anachojuaUpanga kuna wamarekani Weusi wengi tu, Asilimia 28 ya wa Marekani ni masikini pia.
Zipo Nchi za west ambazo zinaweza Kujitapa kwamba zimemaliza umasikini ila Marekani si moja wapo. Juu tu ya Marekani hapo canada wapo vizuri.
Hata Wazamiaji wengi wa Kibongo Marekani wanapita tu, Ndugu zangu wengi niliowaona wanaenda Marekani wakipata Uraia wanahamia Nchi nyengine kama Canada.
Nchi za Nordic kama Finland, Norway, Nchi kama Canada, Uswiss etc huko ndo watu wanaenda kula Maisha ya uhakika sio USA.
Username yako imeanza na Dr. na kumalizia PhD. Katikati kuna Matola. Kijijini kwetu Matola ni mavi.
Mzee si ungeuliza? Kwani kuwepo Wachina-Wamarekani kunazuia Wachina wasioWamarekani kwenda kutafuta maisha? Kama unahitaji nyama zaidi kwenye andiko langu si ungeuliza? Poor Makimba.
Dogo hujielewi, Drake amefanikiwa kuwa tajiri akiwa Marekani, kwanini hakubaki kwao Canada ili awe ale hizo bata?Upanga kuna wamarekani Weusi wengi tu, Asilimia 28 ya wa Marekani ni masikini pia.
Zipo Nchi za west ambazo zinaweza Kujitapa kwamba zimemaliza umasikini ila Marekani si moja wapo. Juu tu ya Marekani hapo canada wapo vizuri.
Hata Wazamiaji wengi wa Kibongo Marekani wanapita tu, Ndugu zangu wengi niliowaona wanaenda Marekani wakipata Uraia wanahamia Nchi nyengine kama Canada.
Nchi za Nordic kama Finland, Norway, Nchi kama Canada, Uswiss etc huko ndo watu wanaenda kula Maisha ya uhakika sio USA.
Anakuzidi wewe kwa kuandika pumba pro max ?Hivi unajijua kama unaongea pumba?
Nakuruhusu unionyeshe hizo pumba nakuruhusu niquoteAnakuzidi wewe kwa kuandika pumba pro max ?
TOFAUTISHA kuwa Tajiri na Nchi Kuwa masikini, Marekani ina Mazingira mazuri kwa matajiri lakini vile vile Ina Mazingira mabaya kwa masikini.Dogo hujielewi, Drake amefanikiwa kuwa tajiri akiwa Marekani, kwanini hakubaki kwao Canada ili awe ale hizo bata?
Kwa hiyo unamaanisha China hali ni mbaya kuliko hapa Tanzania?
Unaweza kututajia maeneo ya China ambayo ukiishi ni mateso matupuile nchi yao kuna maeneo ni mateso tupu,
🗑🚮hata mliokaririshwa na dini zenu kuichukia Marekani huwa mnapambana sana kutafuta green card za Marekani.
Unaweza kututajia maeneo ya China ambayo ukiishi ni mateso matupu
Pole mimi huwa sinaga udini kwenye mijadala hapa jf hata kama unafuatilia michango yanguImepenya hiyo, hata wakuu wenu waarabu wengi hupatamani sana Marekani licha ya nyimbo zao za "Death to America and Israel"...
🗑🚮Hawa kunao wanapitia hali ngumu kuzidi unayoyapitia hapo Mbagalla...
![]()
Pole mimi huwa sinaga udini kwenye mijadala hapa jf hata kama unafuatilia michango yangu