Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mimi sipo huko mkuu naomba unieleweKwa passion au utashi ambao huwa mnaponda Marekani ni wazi sio akili zenu ila mumekaririshwa ujinga na chuki za kidini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sipo huko mkuu naomba unieleweKwa passion au utashi ambao huwa mnaponda Marekani ni wazi sio akili zenu ila mumekaririshwa ujinga na chuki za kidini.
🗑🚮
hii sio China ni Ufilipino
MK254 ndio maana wewe tunakuitaga mzee wa kukurupuka una hoja dhaifu sana
Wang Rui'an, deputy head of Fenghuang town, where the area is located, said the reason for the demolition is that the area is a fire hazard, has a bad environment, bad public security, and it is difficult to implement family planning policies there.Kha ukitaka ninaweza nikajaza server za watu na mapicha ya hali ya hovyoo China
Hebu kwanza pitia hapa uone namna walalahoi wa hizo slums hubomolewa vibanda vyao na kuachwa hoi, yaani...
![]()
The demolition of the largest slum in Sanya, the desolation of the people
Demolition of a Chinese slum - In Sanya, began the demolition of Phoenix Village (Fenghuang Town), a large slum on the outskirts of Sanya ...china-underground.com
![]()
Kupata hata milo mitatu kwa siku ni headache .Kama hautajali kwanza tufafanulie maneno kuishi chini ya mstari wa umaskini
Faida yake nini sasa, hata mataifa kutumia mabilioni ya pesa kutengeneza silaha za hatari zikiwemo za nyuklia utaniambia ina faida gani kama sio shetani 😈 kutumia binadamu kutimiza malengo yake hasi.Wachina walishapeleka spacecraft mwezini wanachotaka sasa ni kumpeleka binadamu mwezini.
Kwa usiojua umuhimu wa hizi spacecraft na space stations huko juu angani ni ngumu kuelewa kwa nini mataifa yanatumia billions of dollars kwa ajili ya space programs, sio wajinga
Government expenditure on space programs, 2022:
🇺🇲USA: $61.97 billion
🇨🇳China: $11.94b
🇯🇵Japan: $4.90b
🇫🇷France: $4.20b
🇷🇺Russia: $3.42b
🇩🇪Germany: $2.53b
🇮🇳India: $1.93b
🇮🇹Italy: $1.74b
🇬🇧UK: $1.15b
🇰🇷South Korea: $0.72b
🇨🇦Canada: $0.54b
🇦🇺Australia: $0.43b
🇪🇸Spain: $0.42b
Sasa kwa taarifa yako Marekani hiyo hiyo ndio nchi inayoongoza duniani kwa watu wengi kuomba visa yake zaidi ya watu milioni mia moja kwa mwaka huomba visa ya kuingia katika nchi hiyo.Upanga kuna wamarekani Weusi wengi tu, Asilimia 28 ya wa Marekani ni masikini pia.
Zipo Nchi za west ambazo zinaweza Kujitapa kwamba zimemaliza umasikini ila Marekani si moja wapo. Juu tu ya Marekani hapo canada wapo vizuri.
Hata Wazamiaji wengi wa Kibongo Marekani wanapita tu, Ndugu zangu wengi niliowaona wanaenda Marekani wakipata Uraia wanahamia Nchi nyengine kama Canada.
Nchi za Nordic kama Finland, Norway, Nchi kama Canada, Uswiss etc huko ndo watu wanaenda kula Maisha ya uhakika sio USA.
Siioni China ikitajwa kuwa raia wake kupata milo mitatu ni changamoto kulingana na ripoti ya FAOKupata hata milo mitatu kwa siku ni headache .
Hatuzungumzii silaha za hatari tunazungumzia space exploration. Soma ujionee manufaa zakeFaida yake nini sasa, hata mataifa kutumia mabilioni ya pesa kutengeneza silaha za hatari zikiwemo za nyuklia utaniambia ina faida gani kama sio shetani 😈 kutumia binadamu kutimiza malengo yake hasi.
Hakuna sehemu ambayo mchina hajatia mguu hapa dunianVipi Saudi Arabia.?
Kwanini Wachina hawataki kuishi huko Saudia ambako naskia kunaendeshwa kwa mujibu wa sheria za Dini ya Haki...?
Dini ya Adamu na Iburahimu.
Dini ya Adam kivipi wakati hiyo dini imekuja baada ya kristo?Vipi Saudi Arabia.?
Kwanini Wachina hawataki kuishi huko Saudia ambako naskia kunaendeshwa kwa mujibu wa sheria za Dini ya Haki...?
Dini ya Adamu na Iburahimu.
Visa ya nini? Kutaka kuishi kule ama kufanya nini? Pia mimi sipendi kujadili ujinga naomba uthibitishe ulichokiandika kwa data hizo data umetoa wapi?Sasa kwa taarifa yako Marekani hiyo hiyo ndio nchi inayoongoza duniani kwa watu wengi kuomba visa yake zaidi ya watu milioni mia moja kwa mwaka huomba visa ya kuingia katika nchi hiyo.
Mapato wanayopata kutokana na malipo ya visa tu kwa mwaka yanatosha kabisa kuendesha wizara yao ya mambo ya nje na kubaki na hakuna nchi kama hiyo duniani.
Ukiuliza watu ni nchi gani wangependa kutembelea hapa duniani karibu asilimia 80 watakuambia ni Marekani ndio namba moja kwao na huo ndio ukweli ambao jihadists wengi hawapendi kusikia.
Hao wachina unaowaona leo marekani ni vizazi vya iv karibuni, mababu zao walihamia marekani miaka 1900 huko kipindi icho china ilikuwa shithole countryHujamjibu ila umemjibu kishabiki tu. China pamoja na kuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani lakini watu wake wengi sana bado wanaishi chini ya mstari wa umaskini na ndio maana wengine wanakuja hata kufanya umachinga huku kwetu.
Wakati huohuo serikali yao eti inahangaika kutafuta namna ya kutaka kwenda mwezini. Bure kabisa.
Sio kweli hii, hakuna wachina waliohamia Marekani kwenye karne ya 19 bali wachina walianza kwenda Marekani kwenye miaka ya themanini kwani kabla ya hapo ilikuwa ni vigumu sana kwa wachina kusafiri nje ya nchi wakati wa utawala wa dikteta Mao kwani ulikuwa huwezi kupewa pasi ya kusafiria nje ya nchi.Hao wachina unaowaona leo marekani ni vizazi vya iv karibuni, mababu zao walihamia marekani miaka 1900 huko kipindi icho china ilikuwa shithole country
Na hta uchumi wa china ulivyoanza kuperfom vizuri miaka 80 wengi walirudi china na kuanzisha biashara mbalimbali.
Nenda kwenye website ya US State Department, lakini shida watanzania hampendi kusoma mmekalia ujinga wa kukimbiza mwenge tu. Bure kabisa.Visa ya nini? Kutaka kuishi kule ama kufanya nini? Pia mimi sipendi kujadili ujinga naomba uthibitishe ulichokiandika kwa data hizo data umetoa wapi?
Ieke hapo na maelezo kuthibitisha unachokiongea, la sivyo chapa lapa na umbea wako.Nenda kwenye website ya US State Department, lakini shida watanzania hampendi kusoma mmekalia ujinga wa kukimbiza mwenge tu. Bure kabisa.
Imepenya hiyo, hata wakuu wenu waarabu wengi hupatamani sana Marekani licha ya nyimbo zao za "Death to America and Israel"...
Saudi hawatoi Uraia kwa watu wa Nje lakini still ni katika Nchi zenye wahamiaji wengi zaidi Duniani.Vipi Saudi Arabia.?
Kwanini Wachina hawataki kuishi huko Saudia ambako naskia kunaendeshwa kwa mujibu wa sheria za Dini ya Haki...?
Dini ya Adamu na Iburahimu.
#USALAMA_KWA_MIAKA_20_IJAYOWachina walivyojazana kwenye mitaa ya Marekani wakipiga deiwaka, kwenu mnaoijua mitaa ya China nako Wamarekani wamejazana huko?