MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Saudi hawatoi Uraia kwa watu wa Nje lakini still ni katika Nchi zenye wahamiaji wengi zaidi Duniani.
Hizi Ni nchi zenye wahamiaji wengi duniani
Saudi ina watu milioni 35 tu ila milioni 13 ni wahamiaji. Benefit anazotoa Saudi kwa raia wake
- United States — 50.6 million
- Germany — 15.8 million
- Saudi Arabia — 13.5 million
- Russia — 11.6 million
- United Kingdom — 9.4 million
- United Arab Emirates — 8.7 million
- France — 8.5 million
- Canada — 8.0 million
- Australia — 7.7 million
- Spain — 6.8 million
-Elimu bure
-afya bure
-maji bure
-mafuta Petroli lita 1400 serikali inatoa Ruzuku
-nchi yenye usalama kuliko zote za G20
-hakuna Raia hata mmoja ambaye hana PA Kukaa
-wasio na ajira wanalipwa na Serikali etc.
Na Hio list ya Juu haiangalii Raia vs Wahamiaji, hii list ya Chini inaonesha ni asilimia ngapi wahamiaji wapo kwenye nchi
Immigration by Country 2024
worldpopulationreview.com
Saudia watu wanakwenda kufanya kazi maana miarabu ya pale ni mizembe kazi kuvaa kanzu siku kutwa, maana wanafurahia mafuta yaliyogunduliwa na mzungu, sasa hela hiyo wanaitumia kuajiri wahamiaji wanaokwenda kujituma, japo hiyo miarabu sijui kwanu mnaiabudu ilivyo mikatili.