Wachina kujenga Dubai ndogo ya Tanzania Ubungo

Wachina kujenga Dubai ndogo ya Tanzania Ubungo

Bado hicho kituo kinaanza kujenga mwaka huu? Kila kitu Dar, watu na akili zao timamu wanajiuliza mlundikano wa watu na magari Dar unasababishwa na nini?
 
sisi tunawapa nini kwenye huo mradi wao.
 
Kumbe tunashindana. Waswahili Na Wahindi toka Kenya. Nakubali Dana juhudi za Tanzania. Waswahili Sio wahindi
 
Back
Top Bottom