LUCKY BANANA
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 461
- 226
MBONA WAKATI ANACHEZA SHOO AKIWA KIMWANA WA MANYWELE UNDER MAIMATHA JESSE HAKUA HIVI, WACHINA WATASHAANGAJE WAKATI DAWA ZAKUUMUA NINATOKA HUKO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah! hapana,ila kuna ukweli kwa baadhi ya watu,
Nafikri uzuri wake wa kulitazama na kulishika watosha si lazima kuchokonoa mombasani.
Na ndio raha yake iyo,na kuliona likitikisika sehemu maalumu.kweli aiisee !kulipiga piga kias yatosha
Moja ya viwanda vyenu hivyo round wowowoKama halijafichiwa "sembe" ndani yake, sijui!
Ivi wanaogombea na kutaka wanawake wenye mawowo wanafanyia nini hasa,
Mi nilifikir wowo hizo ni kero kwa utumiz sehemu husika.
Tunamshukuru kwakututangazia Nchi yetu vizuri,Nchi ya Viwanda vya Wowowo. Siku nyingine aende na Masogange.