joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
english ni tatizo lko kubwaChinese Ditch Kenyan Sand for Their Own in SGR Construction
My take; Majirani kuweni makini sana vinginevyo wanaweza kuwachagulia idadi ya magoli mnayopaswa kuwapiga wake zenu kwa mwaka, hawana nia nzuri hawa kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hadi mchanga unaagizwa china? HeheheππππNtauliza tena, hivi wewe mleta mada huwa unafungua hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Kama ni kiingereza kinakukanganya omba usaidizi. Wachina wameacha kutumia mchanga ambao huwa unavunwa kutoka kwenye mito, badala yake wameibuka na mbinu mpya ya kusaga mawe ambayo yanapatikana kule Bonde la Ufa, Kenya. Rift Valley/Bonde la Ufa ipo Afrika sio China kule Asia na hakuna mchanga wa kichina ambao unasafirishwa kuja Kenya. Rudi shuleni jombaa, hata gumbaru pia ni shule, usife moyo. Kwa wote waliocomment kabla ya kubofya kwenye hiyo link hapo juu na kujisomea taarifa wao wenyewe, badilikeni wajomba zangu.
Ndio mzee, tena wanatumia ndege kusafirisha mchanga kutoka China hadi Kenya. πYaani hadi mchanga unaagizwa china? Hehehe
Mchanga? Tena kwa mkopo..hahahahahahaNdio mzee, tena wanatumia ndege kusafirisha mchanga kutoka China hadi Kenya. π
Just imagine! [emoji15] Halafu mchanga wenyewe ukifika Kenya ndege inasimamishwa juu ya reli ya SGR kisha wachina wawili, wawili tu, wanashusha mzigo wote huo kikung' fu wakitumia ulimi tu.Mchanga? Tena kwa mkopo..hahahahahaha
Hahahaha, poleni sana majirani, wachina hawajawahi kumwacha mtu salama.Just imagine! [emoji15] Halafu mchanga wenyewe ukifika Kenya ndege inasimamishwa juu ya reli ya SGR kisha wachina wawili, wawili tu, wanashusha mzigo wote huo kikung' fu wakitumia ulimi tu.
Nenda kawaulize wachina kesho asubuhi, hapa hakuna anayewaelewa kwanini wachina wameamua kuwanyanyasa wakenya.Mchanga unatoka bonde la ufa ama sijaelewa hiyo link? ππ
Chinese Ditch Kenyan Sand for Their Own in SGR Construction
My take; Majirani kuweni makini sana vinginevyo wanaweza kuwachagulia idadi ya magoli mnayopaswa kuwapiga wake zenu kwa mwaka, hawana nia nzuri hawa kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Its better to co-operate, accept and nod enthuthiasticaly at everything a fool says. That way you give him the opportunity to reach the highest height of his foolishness. -pingli-nyweeNever argue with a fool. Onlookers may not be able to tell the difference.
~ Mark Twain
Yaani hadi mchanga unaagizwa china? Heheheππππ
LOL..Its better to co-operate, accept and nod enthuthiasticaly at everything a fool says. That way you give him the opportunity to reach the highest height of his foolishness. -pingli-nywee