Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Aisee vichwa majimaji rebellionSasa kama cement analeta yake, utamkataza kwenye mchanga? ππππ
Hahahaha, taratibu kaka Mimi sio mchina usinichukie wala kunitukana, Mara waseme wakenya ni "Monkey" hadi rais wao, Mara wawachape viboko wakenya kule SGR, Mara wakatae kula pamoja na wakenya, sasa wanakuja na mchanga wa China. Sijui baada ya hili watakuja na lipi.My take:
You are a brainless, low IQ, dumb piece of sh$t.
So stupid you can't recognize obvious fake news.
Hamna cha ugonjwa wala nini. Jasho litawatoka; mnafikiri mchezo sio?chaliifrancisco ulisema huyu mgonjwa mahututi ndio amefanya mtihani wa junior high hivi majuzi?
true, this level of stupidity is just alarming , even by some idiots who claim to be intellectualsIts better to co-operate, accept and nod enthuthiasticaly at everything a fool says. That way you give him the opportunity to reach the highest height of his foolishness. -pingli-nywee
My take:
You are a brainless, low IQ, dumb piece of sh$t.
So stupid you can't recognize obvious fake news.
Yaani Mchanga kwa mkopo? Akili ama matope? π π πJust imagine! [emoji15] Halafu mchanga wenyewe ukifika Kenya ndege inasimamishwa juu ya reli ya SGR kisha wachina wawili, wawili tu, wanashusha mzigo wote huo kikung' fu wakitumia ulimi tu.
Even a fool who keeps silent is considered wise, if he closes his lips, he's deemed intelligent.-Proverbs 17:28Yaani Mchanga kwa mkopo? Akili ama matope? π π π
JUBILEE TANO TENA
Kumbe ulikuwa serious? [emoji1] Nilidhani ulikuwa unatania! Hahaha! π Hii ni zaidi ya aibu, sanasana kwa mzee kama wewe ambaye anakula pension.Yaani Mchanga kwa mkopo? Akili ama matope?
Meza dawa hiyo ukalale.Hahahaha...Wadanganyika I say.....Konyagi mnayokunywa lazima ni graveyard.
Kwanza mchanga wenyewe lazima utakuwa Radioactive waste wamepata sehemu ya Ku dump na kulipwa fedha za wavuja jasho.
ππππKumbe ulikuwa serious? [emoji1] Nilidhani ulikuwa unatania! Hahaha! π Hii ni zaidi ya aibu, sanasana kwa mzee kama wewe ambaye anakula pension.
Yaani mtu kwa akili zake aagize mchanga wa kichina? Tena aulipie kwa mkopo..πππEven a fool who keeps silent is considered wise, if he closes his lips, he's deemed intelligent.-Proverbs 17:28
Aiseee hii kali.. Wajameni mpaka mchanga, next wataagiza maji kwa ajili ya ujenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ata mimi naona.. Mchina ana wivu sana! kwanini asitumie mchanga wakenya??!!Pole, wivu ni mbaya!., you so wish!., mnatamani vya Kenya visifaulu, wivu wenyu baraka tele kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app