Wachina wakataa kutumia mchanga wa Kenya katika ujenzi wa SGR, watumia mchanga toka China.

Wachina wakataa kutumia mchanga wa Kenya katika ujenzi wa SGR, watumia mchanga toka China.

My take:
You are a brainless, low IQ, dumb piece of sh$t.

So stupid you can't recognize obvious fake news.
Hahahaha, taratibu kaka Mimi sio mchina usinichukie wala kunitukana, Mara waseme wakenya ni "Monkey" hadi rais wao, Mara wawachape viboko wakenya kule SGR, Mara wakatae kula pamoja na wakenya, sasa wanakuja na mchanga wa China. Sijui baada ya hili watakuja na lipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My take:
You are a brainless, low IQ, dumb piece of sh$t.

So stupid you can't recognize obvious fake news.
Just imagine! [emoji15] Halafu mchanga wenyewe ukifika Kenya ndege inasimamishwa juu ya reli ya SGR kisha wachina wawili, wawili tu, wanashusha mzigo wote huo kikung' fu wakitumia ulimi tu.
Yaani Mchanga kwa mkopo? Akili ama matope? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
JUBILEE TANO TENA
 
Hahahaha...Wadanganyika I say.....Konyagi mnayokunywa lazima ni graveyard.
 
Kabisa Mkuu hata mchanga utoke China? Wa Kenya haufai? WIZI MTUPU!

Kwanza mchanga wenyewe lazima utakuwa Radioactive waste wamepata sehemu ya Ku dump na kulipwa fedha za wavuja jasho.
 
Back
Top Bottom