Wachina wakataa kutumia mchanga wa Kenya katika ujenzi wa SGR, watumia mchanga toka China.

Wachina wakataa kutumia mchanga wa Kenya katika ujenzi wa SGR, watumia mchanga toka China.

Just imagine! [emoji15] Halafu mchanga wenyewe ukifika Kenya ndege inasimamishwa juu ya reli ya SGR kisha wachina wawili, wawili tu, wanashusha mzigo wote huo kikung' fu wakitumia ulimi tu.
pingli-nywee hio kitu ilinishangaza...mimi niliona hizo ndege angani karibu na Suswa saa nne usiku juzi nikielekea nyumbani Kuria. Hizo ndege ni kubwa aise alafu huo mchanga unashuka kama ushakorogwa na saruji na kumwagwa direct kwa pillars na pia kokoto. Kwa speed hio niliona watamaliza this month way ahead of schedule. good work Chinku😃😃
 
Ata mimi naona.. Mchina ana wivu sana! kwanini asitumie mchanga wakenya??!!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
What is happening my Brother from LDC?
1551428684899.png
1551428684899.png
 
Hahahaha, taratibu kaka Mimi sio mchina usinichukie wala kunitukana, Mara waseme wakenya ni "Monkey" hadi rais wao, Mara wawachape viboko wakenya kule SGR, Mara wakatae kula pamoja na wakenya, sasa wanakuja na mchanga wa China. Sijui baada ya hili watakuja na lipi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkulu eti wanasema hujaielewa article.
 
joto la jiwe Mbona unatumia akili kama kofia??? 🙁🙁🙁 Je kuna Rift Valley China???
Chinese contractors working on the Standard Gauge Railway Phase 2A construction have stopped using sand harvested from Kenyan riverbanks upon adoption of a new process.

According to a report by the Standard, the contractor has figured out a way of making sand out of the volcanic rocks on the Rift Valley floor, instead of the common construction sand.





The manufactured product is called m-sand and it made by mincing rocks and quarry stones into the desired particles.


Officials from China Communication Construction Company (CCCC) confirmed that the sand would be used in all the civil works on the 120-kilometre line between Nairobi and Naivasha.

"We have almost eliminated river sand in our projects by switching to manufactured sand. The shift will not only address ecological issues but significantly improve project efficiency," CCCC Kenya Spokesman Steve Zhao explained.

The official added that using m-sand will lower the overall cost while aiding project completing with less time. Costs are reduced in that, the rocks are mined near the construction sites reducing transportation costs.

Another advantage of using volcanic rocks are found all over the country in addition to containing silica, one of the key components that bonds well with cement during construction.

The consistent nature of m-sand gives it an upper hand over normal sand as it is free of silt and clay elements, and has denser particle packing.

The adoption of the new technology will have ecological benefits as riverine ecosystems will be spared from sand mining which destroys riparian vegetation, affects the flow of water along the river, erodes the water holding capacity of the riverbed and damages ecosystems.

"Land used for quarrying rocks can be reclaimed for commercial or residential purposes or used for wetland restoration. Already, we have minded and reclaimed a few quarries around here as per our agreements with the locals," Zhao added.
 
wanataka kuongeza garama za ujenzi
Kwa hili napingana na wewe kidogo. inawezekana mchina kaona bei ya mchanga wake ni cheap kuliko wa kenya. Mkataba unamtaka ajenge ila haumchagulii sehemu ya kutoa material. ilimradi material ziwe kwenye standard inayotakiwa
 
Ndio zao hizo, hata ununuzi wa used locomotives walisema hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ya kwenu yamewashinda vile vyuma vimekaza kote😱😱😱😱
1551430385737.png


Hivi kwanini Rais Magufuli anashindwa kwa kila kitu anachogusa ? - JamiiForums

Dar: Maduka ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) jana yalivamiwa Polisi, mengine yafungwa - JamiiForums

Shilingi yetu haiwezi kuimarika Kwa mtutu wa bunduki , hivi mshauri wa JIWE ni Nani , inatia aibu sana haya mambo

Sent from my Iphone using Tapatalk
Kuwanyang'a watu hyo sio solution ka nchi hatufanyi biashara nje ya nchi, pia kukatwa misaada kumefanya dola ihadimike mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameturudisha kwenye mambo ya black market

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Heri kijana masikini mwenye hekima, kuliko mfalme Mzee mpumbavu.
Sipendi kucheka Wala Mambo ya comedy lakini nikitaka kucheka huwa naangalia serikali inavyofanya Mambo yake...by mwanafalsafa mmoja huko ulaya
Ni kawaida tangu enzi kuwa watu wasio na busara daima hukimbilia kutimia mabavu, tusishangae sana
 
Ntauliza tena, hivi wewe mleta mada huwa unafungua hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Kama ni kiingereza kinakukanganya omba usaidizi. Wachina wameacha kutumia mchanga ambao huwa unavunwa kutoka kwenye mito, badala yake wameibuka na mbinu mpya ya kusaga mawe ambayo yanapatikana kule Bonde la Ufa, Kenya. Kulingana na hiyo taarifa kwenye link yako. Rift Valley/Bonde la Ufa ipo Afrika sio China kule Asia na hakuna mchanga wa kichina ambao unasafirishwa kuja Kenya. Rudi shuleni jombaa, hata gumbaru pia ni shule, usife moyo. Kwa wote waliocomment kabla ya kubofya kwenye hiyo link hapo juu na kujisomea taarifa wao wenyewe, badilikeni wajomba zangu.
Hata mimi nimeshangaa taarifa kutoka kwenye link na alichoeleza mleta mada havishabihiani hata kidogo...
 
Mbona hii ishu ya mchanga umeshidwa kukanusha..

Sent using Jamii Forums mobile app
juu akili yako kung'amua kiingereza ni finyu mno...Ninini kinakushinda hapa usaidiwe na mtoto wangu wa chekechea?
''According to a report by the Standard, the contractor has figured out a way of making sand out of the volcanic rocks on the Rift Valley floor, instead of the common construction sand. '' (Yani watatumia mawe/jiwe yanayopatikana pale Bonde La Ufa(Kenyan Rift Valley) kuyasiaga yawe Mchanga wa hali ya juu badala ya kutumia mchanga wa mtoni)...Comprende? Kilaza wa vilaza.
 
juu akili yako kung'amua kiingereza ni finyu mno...Ninini kinakushinda hapa usaidiwe na mtoto wangu wa chekechea?
''According to a report by the Standard, the contractor has figured out a way of making sand out of the volcanic rocks on the Rift Valley floor, instead of the common construction sand. '' (Yani watatumia mawe/jiwe yanayopatikana pale Bonde La Ufa(Kenyan Rift Valley) kuyasiaga yawe Mchanga wa hali ya juu badala ya kutumia mchanga wa mtoni)...Comprende? Kilaza wa vilaza.
Hizo porojo tu, Wachina wabaya sana.. poleni wajameni [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom