Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
These Tanzanians are trying too hard man, inabidi wapandishe gea ili walipwe mshahara wa propagandaNtauliza tena, hivi wewe mleta mada huwa unafungua hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Kama ni kiingereza kinakukanganya omba usaidizi. Wachina wameacha kutumia mchanga ambao huwa unavunwa kutoka kwenye mito, badala yake wameibuka na mbinu mpya ya kusaga mawe ambayo yanapatikana kule Bonde la Ufa, Kenya. Kulingana na hiyo taarifa kwenye link yako. Rift Valley/Bonde la Ufa ipo Afrika sio China kule Asia na hakuna mchanga wa kichina ambao unasafirishwa kuja Kenya. Rudi shuleni jombaa, hata gumbaru pia ni shule, usife moyo. Kwa wote waliocomment kabla ya kubofya kwenye hiyo link hapo juu na kujisomea taarifa wao wenyewe, badilikeni wajomba zangu.
Ntauliza tena, hivi wewe mleta mada huwa unafungua hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Kama ni kiingereza kinakukanganya omba usaidizi. Wachina wameacha kutumia mchanga ambao huwa unavunwa kutoka kwenye mito, badala yake wameibuka na mbinu mpya ya kusaga mawe ambayo yanapatikana kule Bonde la Ufa, Kenya. Kulingana na hiyo taarifa kwenye link yako. Rift Valley/Bonde la Ufa ipo Afrika sio China kule Asia na hakuna mchanga wa kichina ambao unasafirishwa kuja Kenya. Rudi shuleni jombaa, hata gumbaru pia ni shule, usife moyo. Kwa wote waliocomment kabla ya kubofya kwenye hiyo link hapo juu na kujisomea taarifa wao wenyewe, badilikeni wajomba zangu.
Nimeelewa kumbe watanzania wengi hua hawasomi taarifa (ama labda hawaelewi), wanaangalia maoni ya watu wengine kwa comment badala ya kusoma na kuelewa taarifa yenyewe... Yani mada inaezaje kuenda ukurasa 4 na bado jamaa wanapost comment mpya zinazo ongelea uongo ule ule ulioelezewa kwa comments..
Hahahahahahahaaaa... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha watuambie ni mchanga class 1 kutoka china
Alafu, baada ya kujua? [emoji15]hapo kwenye ngumbaru pamenifanya nijue kabila lako
Kawaida ya baadhi yao, ni bendera fata upepo. Hawajiamini kabisa, wana mashaka na uwezo wao wa kungamua vitu kibinafsi, zero confidence.Nimeelewa kumbe watanzania wengi hua hawasomi taarifa (ama labda hawaelewi), wanaangalia maoni ya watu wengine kwa comment badala ya kusoma na kuelewa taarifa yenyewe... Yani mada inaezaje kuenda ukurasa 4 na bado jamaa wanapost comment mpya zinazo ongelea uongo ule ule ulioelezewa kwa comments..
Hahaha! 😀 Mchinku anaigiza filamu ya kung-fu huku akiendelea na ujenzi wa reli. Mwoto sana!pingli-nywee hio kitu ilinishangaza...mimi niliona hizo ndege angani karibu na Suswa saa nne usiku juzi nikielekea nyumbani Kuria. Hizo ndege ni kubwa aise alafu huo mchanga unashuka kama ushakorogwa na saruji na kumwagwa direct kwa pillars na pia kokoto. Kwa speed hio niliona watamaliza this month way ahead of schedule. good work Chinku
These Tanzanians are trying too hard man, inabidi wapandishe gea ili walipwe mshahara wa propaganda
Nimewabandikia habari kwenye hio link... Hata nita highlight pale wanafaa kusoma ili wae wavivu wa kusoma waone pale pa kusoma... Mwenye macho haambiwi tazama
Chinese contractors working on the Standard Gauge Railway Phase 2A construction have stopped using sand harvested from Kenyan riverbanks upon adoption of a new process.
According to a report by the Standard, the contractor has figured out a way of making sand out of the volcanic rocks on the Rift Valley floor, instead of the common construction sand.
The manufactured product is called m-sand and it made by mincing rocks and quarry stones into the desired particles.
Officials from China Communication Construction Company (CCCC) confirmed that the sand would be used in all the civil works on the 120-kilometre line between Nairobi and Naivasha.
"We have almost eliminated river sand in our projects by switching to manufactured sand. The shift will not only address ecological issues but significantly improve project efficiency," CCCC Kenya Spokesman Steve Zhao explained.
The official added that using m-sand will lower the overall cost while aiding project completing with less time. Costs are reduced in that, the rocks are mined near the construction sites reducing transportation costs.
Another advantage of using volcanic rocks are found all over the country in addition to containing silica, one of the key components that bonds well with cement during construction.
The consistent nature of m-sand gives it an upper hand over normal sand as it is free of silt and clay elements, and has denser particle packing.
The adoption of the new technology will have ecological benefits as riverine ecosystems will be spared from sand mining which destroys riparian vegetation, affects the flow of water along the river, erodes the water holding capacity of the riverbed and damages ecosystems.
"Land used for quarrying rocks can be reclaimed for commercial or residential purposes or used for wetland restoration. Already, we have minded and reclaimed a few quarries around here as per our agreements with the locals," Zhao added.
Chinese Ditch Kenyan Sand for Their Own in SGR Construction
BuhahahahahahJust imagine! [emoji15] Halafu mchanga wenyewe ukifika Kenya ndege inasimamishwa juu ya reli ya SGR kisha wachina wawili, wawili tu, wanashusha mzigo wote huo kikung' fu wakitumia ulimi tu.
utafafanua mara ngapi? Its clear they are taking you for a spin now who,s the fool? definitely not the "spinner"juu akili yako kung'amua kiingereza ni finyu mno...Ninini kinakushinda hapa usaidiwe na mtoto wangu wa chekechea?
''According to a report by the Standard, the contractor has figured out a way of making sand out of the volcanic rocks on the Rift Valley floor, instead of the common construction sand. '' (Yani watatumia mawe/jiwe yanayopatikana pale Bonde La Ufa(Kenyan Rift Valley) kuyasiaga yawe Mchanga wa hali ya juu badala ya kutumia mchanga wa mtoni)...Comprende? Kilaza wa vilaza.
Alafu, baada ya kujua? [emoji15]