Picha hii haiwezi kuwa ya 2007 sababu jezi aliyovaa huyo wa katikati maarufu kama 'madela' ilikuwa haijatoka.Iyo pc ya 2007 bn
Iyo pc ya 2007 bn
πππHiyo jezi ya bonge ni toleo la 2007..???
Thibitisha hii kauli ili wengi tuamini. Walikuwa wanafanyaje hapo hiyo 2007?Iyo pc ya 2007 bn
π³π³π³π³π³Hao siyo wanasimba, ni Vyura wamejikamofleji usimba ili ionekane simba wanaroga, ingekuwa kweli picha tusingeiona maana hakuna mlozi atakubali kufanya zindiko mbele kamera.
Aibu kwa vyuraaaaView attachment 974587
Na sisi kama mashabiki wa NKANA FC wa mkopo tulikuwa tunalinda uwanja ndipo wachina wenye nguo nyekundu wakaingia na kuanza kuchimba mashimo na kufukia Nyasi Bandia uwanjani.Hao siyo wanasimba, ni Vyura wamejikamofleji usimba ili ionekane simba wanaroga, ingekuwa kweli picha tusingeiona maana hakuna mlozi atakubali kufanya zindiko mbele kamera.
Aibu kwa vyuraaaaView attachment 974587
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]