Wachina wakimwagilia Uwanja wa Taifa kwa Ajili ya Mechi ya Nkana FC

Wachina wakimwagilia Uwanja wa Taifa kwa Ajili ya Mechi ya Nkana FC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Jamani kumbe tulisema tuwangoje Taifa kwa kuwa kuna fursa ya kukata Nyasi kumbe...[emoji23][emoji23]
47438640_208439530094524_8675225455757571125_n.jpeg
 
Hao siyo wanasimba, ni Vyura wamejikamofleji usimba ili ionekane simba wanaroga, ingekuwa kweli picha tusingeiona maana hakuna mlozi atakubali kufanya zindiko mbele kamera.

Aibu kwa vyuraaaa
tapatalk_1545392168596.jpeg
 
Jezi hazina nembo ya Sportpesa. Kwahyo hyo pic sio ya two years ago it Approximately to 3 or 4 yrs ago
 
Hao siyo wanasimba, ni Vyura wamejikamofleji usimba ili ionekane simba wanaroga, ingekuwa kweli picha tusingeiona maana hakuna mlozi atakubali kufanya zindiko mbele kamera.

Aibu kwa vyuraaaaView attachment 974587
Na sisi kama mashabiki wa NKANA FC wa mkopo tulikuwa tunalinda uwanja ndipo wachina wenye nguo nyekundu wakaingia na kuanza kuchimba mashimo na kufukia Nyasi Bandia uwanjani.

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom