CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Kama ilivyo kawaida ya kenya ile tabia yao ya kwamba kila kitu kinzuri ni cha kwao, hatimaye wamefanikiwa kuwapiku wachina, kwani wanadai ugonjwa wa corona umeanzia kwao na ni mali yao, na sasa hawauiti corona virus au Wuhani virus bali unaitwa Nairobi virus.
Wachina bahada ya kugundua njama hizo za kupokonywa hati miliki ya ugonjwa huo ilibidi waende mahakamani kuomba kibali cha kuondoka nchini kenya kwani hawawahamini tena Wakenya.
Wachina bahada ya kugundua njama hizo za kupokonywa hati miliki ya ugonjwa huo ilibidi waende mahakamani kuomba kibali cha kuondoka nchini kenya kwani hawawahamini tena Wakenya.