Wachina wamegundua pikipiki inayotumia pombe kali badala ya mafuta

Wachina wamegundua pikipiki inayotumia pombe kali badala ya mafuta

Kwahy nae alifanya no reform no election mpaka akapata hy pikipiki?
kama unataka juma lukole ndo kuwa waziri wako kupitia CCM kuna siku kinyeo kitapigiwa tamasha
 
Sasa hili ni jambo geni how ?

Alcohol inaweza kutumika kama nishati na methanol imekuwa ikitumika kwa shughuli hio ila mwisho wa siku bado ni gharama wala sio busara sana kama unapata hio alcohol kwa kutumia vitu ambavyo vingeweza kuwa chakula....

The only new thing in this world is the history you don't know....
 
Back
Top Bottom