zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
ala! Kumbe kosa la dereva!
Sasa dereva avute basi ndani lina wanafunzi na limezima kosa la nani hapo? huyo kulimbokwa saizi yake.
Alikuwa anahatarisha maisha ya hao wanafunzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ala! Kumbe kosa la dereva!
Kwa taarifa yako CCK wakichukua nchI usajili wakada zote unaanza upya matoyoyo kama nyie mnao walinda wawekezaji tunafukuza
Zomba nilishakuambia huo upolisi wako utakucost wewe kuwa shushu tu lakini you are in the wrong move mkuu. Jamaa amedhalilishwa kwa ajili ya kuwaondoa watoto wale waliokuwa wanaenda kwenye umitashumta ili wasivamiwa na majambazi ile barabara nadhani unawajua. Lakini kwa kumvunja mkono na kumtengua nyonga sio ubinadamu we will fight chico company and we will build chinese phobia kitaeleweka tu
Kila kazi ina kanuzi zake, msaada upi? walikuwa hatarini kupoteza maisha? au walikuwa wameharibikiwa tu na gari? unaweza kuona unatoa msaada kumbe unahatarisha zaidi usalama wao. mfano kuwavuta na wao wamo ndani ya gari linalovutwa, kama kafanya hivyo anastahiki kichapo, kwani alikuwa anahatarisha maisha ya hao wanafuzni zaidi ya kuwasaidia.
Huyo dereva ni punguani avute basi na kuna wanafunzi ndani? huyo alistahiki kulimbokwa.
Hivi wachina wako wangapi nchini hadi watutawale!???????
Tuwarudi hawa hata kwa manati. Wamesha jua bei ya mahakimu, huko hamna haki kwa mzawa
Unajua, watu wa mentality ya akina Zomba/Kikwete ndio wanaouza utu wetu na maliasili zetu kwa kuwaona watu wa rangi nyeupe ni wa thamani zaidi. Inasikitisha sana.
Nimekwambia tangu jana kwamba mimi ni 16th generation Mtanganyika. Babu ya baba yangu, hata kabla ya MjerumaniSasa wewe unaona sawa livutwe basi liliharibika na wanafunzi wamo ndani?
Watu kama wewe ndio mlioifikisha hii nchi pabaya, tuwachieni Kikwete aiweke sawa. Hata fikra zenu zile zile za chuki, utafikiri nyinyi sio wahamijai hapa. Wewe una asili ya Tanganyika kutoka mababu zako? sema kweli!
Nimekwambia tangu jana kwamba mimi ni 16th generation Mtanganyika. Babu ya baba yangu, hata kabla ya Mjerumani
kuingia nchini alikuwa ameshatoa fundisho la kutosha kwa Wamasai waliokuwa wananyanyasa wafugaji ng'ombe kule Mwibara. Mpaka leo Mmasai havuki mto Mara anapokwenda kuiba ng'ombe.
Mbona hujaeleza kwa kina issue yenyewe sijui unataka tutachingie kitu ambacho hakijakamilika kaka??Katika hali ya kuendelea kuwanyanyasa wazawa wachina watatu wa kampuni ya CHICO wamemfanyia unthinkable mfanyakazi alietaka kuwapa msaada watoto sabini baada ya kutaka kuwapa msaada wa kuvuta basi lao.
Dereva Yassin Twaha alichofanyiwa na maelezo ya kamanda Bundala yanatia kinyaa wazalendo wa nchi hii sasa tusimame tujilinde wenyewe.
Kila kazi ina kanuzi zake, msaada upi? walikuwa hatarini kupoteza maisha? au walikuwa wameharibikiwa tu na gari? unaweza kuona unatoa msaada kumbe unahatarisha zaidi usalama wao. mfano kuwavuta na wao wamo ndani ya gari linalovutwa, kama kafanya hivyo anastahiki kichapo, kwani alikuwa anahatarisha maisha ya hao wanafuzni zaidi ya kuwasaidia.
Huyo dereva ni punguani avute basi na kuna wanafunzi ndani? huyo alistahiki kulimbokwa.
Hata wawe wanakwenda wapi. Huwezi kuvuta gari lenye aboiria ndani, ni makosa makubwa sana. Huyo dereva kichapo halali yake. Usitete ujinga.
Kama unajuwa kuwa haya mabasi ya siku hizi, breki, usukani, gear hufanya kazi kwa kutegemea injini usingesema yote hayo. Gari ikizima ikawa inavutwa hata ndogo haitakiwi ipakie abiria, hata kuivuta na dereva ndani ni makosa. Ikiharibika inatakiwa ije breakdown kuivuta au kuipakia iiondoe ilipo ili isisababishe madhara zaidi.
Huyo dereva kulimbokwa ni sawa kabisa. Atarudia?
huyo dereva ukiona hivyo hapo alipiga deal la kulivuta hilo basi ili apate hela ma boss wake wakamstukia wakamdunda . asingeweza kupigwa bila kosa . watanzania wamezidi ukiwachekea watafanya watakacho . yeye ni dereva tu na mamlaka mengine . kumpeleka polisi au mahakamani ni kupoteza muda na hela . dawa ni kumdunda tu siku nyingine hawezi kuthubutu
Mkuu, uwezo wako wa kufikiri na ku-analyse mambo ndipo umefikia mwisho hapo? Hakuna uhalali wowote wa mfanyakazi kupigwa na mwajiri eti kwa kuwa amefanya makosa akiwa kazini!!!!
Tusitetee ujinga tafadhali!!!!
Tiba