funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!!
Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu vyuoni....ni kwa namna gani tutasurvive miaka 5000 kama mchina ?? na sio kujikita kwenye perepere za no reforms sijui no erection na blaah blaah za kipuuzi baada ya kupewa vi perdiem.
Hebu tujenge Taifa imara kupitia program maalumu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!