Na hizi ndio fikra zetu ☹️Miaka 500 tu ijayo hakutakuwa na mataifa Wala kupiga kura sijui kampeni kutakuwa na dunia nyingine kabisa
Hata mapenzi watu hawatakuwa wanafanya 😥
CCM hao wajenge Taifa? CCM haina tofauti na True Whig Party ya Liberia ambayo ilitawala zaidi ya miaka 100 na Liberia haikupata maendeleo yoyote.Hebu tujenge Taifa imara kupitia program maalumu
Dunia itakuwa imebadilika sana tech itakuwa Kila mahaliNa hizi ndio fikra zetu ☹️