Wachina wanaongoza kwa uchafu

Nyie hamkai hapo majani yanawahusu Nini tafuta kazi za kufanya binti,

Siku wakihama nani ataingia kwenye nyumba chafu? Gharama za ku fix walivyovunja inatoka kwa nani? Hamna kitu kinakera kama kupangisha mtu halafu siku anaondoka anakuachia hasara ya kutosha
 
1.Achana na nyumba ya mzee wako, kajenge ya kwako upangishe wasafi

2. Mmechukua fweza m9 yao nendeni wenyewe mkawambie wafanye usafi muache uoga.

3. Kupagisha nyumba kwa kipindi wa mkataba mliokubaliana ni kama umeiuza nyumba hiyo kwa muda, hata akitaka kufugia nyoka humo au kunya ndani, we hayakuhusu vinginevyo vunja mkataba.

4.We unataka wachina wakupatie m9 then nyumba ibaki kama ilivyokuwa ili pesa yote ukanunulie vijora?
Tenga 30 % kwa ajiri ya ukarabati na running cost zingine.

Sasa we mung'unya hiyo m9 zote kwa kuhonga huko chuo uone kazi ilivyo kazi kupata kazi.
 
Ni wachafu kweli mtoa mada hajadanganya,

Wanaogopa kuweka wafanya usafi hasa ndani sababu wanahofia kuibiwa, kuchunguzwa nk
Vijamaa ni vichafu sio siri
 
Ni wachafu kweli mtoa mada hajadanganya,

Wanaogopa kuweka wafanya usafi hasa ndani sababu wanahofia kuibiwa, kuchunguzwa nk
Vijamaa ni vichafu sio siri
Umeongea ukweri mkuu wengi hawaelewi, wanaogopa kuibiwa sana
 
Anaweza ikuta nyumba walishaimodify kuwa kiwanda cha manati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…