Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie hamkai hapo majani yanawahusu Nini tafuta kazi za kufanya binti,
1.Achana na nyumba ya mzee wako, kajenge ya kwako upangishe wasafiHabari za asubuhi Wana JF,
Leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina. Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamaniki, Ina nyasi kubwa nje na ndani, sio watunzaji wazuri wa nyumba hadi dirisha la aluminium washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto wala mke.
Vyakula vyao wanamwaga tu ovyo, nyumba miezi mitano tu ishachakaa ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....
Umeongea ukweri mkuu wengi hawaelewi, wanaogopa kuibiwa sanaNi wachafu kweli mtoa mada hajadanganya,
Wanaogopa kuweka wafanya usafi hasa ndani sababu wanahofia kuibiwa, kuchunguzwa nk
Vijamaa ni vichafu sio siri
Kwan mkataba unasemaje? Hawezi unahamaje bila kukabidhi nyumbaSiku wakihama nani ataingia kwenye nyumba chafu? Gharama za ku fix walivyovunja inatoka kwa nani? Hamna kitu kinakera kama kupangisha mtu halafu siku anaondoka anakuachia hasara ya kutosha
Anaweza ikuta nyumba walishaimodify kuwa kiwanda cha manati.Wachina ni wachafu sana, kwanza ni watu wa kutema tema mate hovyo, kufuta makohozi na kuyatema kwa kuyarusha, kujamba hovyo...
Hao washenzi wanatema mimate iwe airport, supermarket, restaurant n.k...
Wananuka miili, midomo ndio usiseme kama vile harufu ya vitunguu swaumu vilivyoanza kuchacha...
Jiandaeni tu kuja kukarabati nyumba kwa upya watapoondoka hapo...