Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wale UyghursHizo taakwimu waliulizwa raia wa Taiwan? Hong Kong ama wanachama wa CPC?
Tumia tafsiri ya utawala wenye checks and balances kati ya mihimili mikuu mitatu ya nchiKwanza kabisa tuulizane Demokrasia ni nini sababu ile Demokrasia ya kama neno linavyosema Nguvu ya Umma au Government by the People and for the People does not exist labda kwenye majarida...
Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...www.jamiiforums.com
Inategemeana wao wana itafsiri vipi hiyo demokrasia hata CCM wanasema Tanzania ni nchi ya kidemokrasia.
All the checks and balances have loopholes, they only check and do the balancing when it suits them.., Kwa sehemu kama USA kulikuwa na Taasisi ambazo angalau in comparison na pengine zilikuwa strong ila ndio hivyo na zenyewe zimeonekana zipo prone ni ass kissers, na watu wenye Uchama kuliko mustakabari wa nchi...,Tumia tafsiri ya utawala wenye checks and balances kati ya mihimili mikuu mitatu ya nchi
Tumia mfano wa Korea Kusini, Ujerumani, Finland au CanadaAll the checks and balances have loopholes, they only check and do the balancing when it suits them.., Kwa sehemu kama USA kulikuwa na Taasisi ambazo angalau in comparison na pengine zilikuwa strong ila ndio hivyo na zenyewe zimeonekana zipo prone ni ass kissers, na watu wenye Uchama kuliko mustakabari wa nchi...,
Mfano Republicans wamekuwa wajanja sana katika Appointments ya Supreme Courts Justices; na Sasa hivi wana 6 kati ya 9 (Six of the nine justices were appointed by Republican presidents, including three when Donald Trump was in the White House. The other three were picked by Democratic presidents.)
View attachment 3227582
Kuna Kosa moja alifanya OBAMA baada ya Justice mmoja kufariki na Republicans wakapiga kelele eti asichague mwingine mpaka baada ya uchaguzi vitu ambavyo Republicans hawafanyi wala hawakufanya
The death of one of the most conservative members of the US Supreme Court, Justice Antonin Scalia, has sparked arguments over the process to find his successor.
President Barack Obama said he would nominate a replacement.
But the Republican candidates for the presidential nomination have called for a delay until after the election.
Before Justice Scalia's death, the US high court had a conservative 5-4 majority.
Hitimisho
Huwa tunadhani Russia ndio kuna ma Oligarchy wanaoendesha nchi, ila ukweli ni kwamba Dunia nzima ni hivyo katika viwango tofauti tofauti..., Anyway hii sio kitu static mambo yanabadilika as time goes on na kitakachotokea miaka 50 ijayo nina uhakika kitakuwa tofauti na kilichopo leo (Ruling System), ni kwamba we are persuing Democray but we are not there yet...
Oligarchs gani wanaongoza Uingereza, Ufaransa, Brazil, China, Scandinavia?Hitimisho
Huwa tunadhani Russia ndio kuna ma Oligarchy wanaoendesha nchi, ila ukweli ni kwamba Dunia nzima ni hivyo katika viwango tofauti tofauti..., Anyway hii sio kitu static mambo yanabadilika as time goes on na kitakachotokea miaka 50 ijayo nina uhakika kitakuwa tofauti na kilichopo leo (Ruling System), ni kwamba we are persuing Democray but we are not there yet...
Ngoja niongelee UK unajua Cash for Honors scandal, unajua jinsi al Fayed alivyoingilia chama cha Conservative under Thatcher mkuu tangia beggining of time power is under the few who pull the strings kwa USA imekuwa under Corporations Lobbysts na big donorsOligarchs gani wanaongoza Uingereza, Ufaransa, Brazil, China, Scandinavia?
Naam nimejibu hapo juu achana na enzi za kina JP Morgan huko tasema nimekwenda mbali sana, ila kuna mpaka President of USA was killed by the Bankers; Achana na Kennedy alivyowekwa pale na Big money kutokana na connection ya Baba yake Joe na Mafia connection..., In short mkuu there is nothing new, anachofanya Trump ni kutumia loopholes zilizopo na kufanya mambo kwa uwazi kama punguani (populist mpenda sifa no matter detriment anayofanya) ila mambo yamekuwa yakiendelea under the carpet...Oligarchs gani walikuwa wanaongoza Marekani kabla ya Elon Musk na Trump?
Umeongea ukweli sana ila wabongo hauwaambii kitu kuhusu Usa . Mfano ICC imewekewe vikwazwa kwa kuwa eti imemgusa netanyahu ila putin ni haki yake kushatakiwaAll the checks and balances have loopholes, they only check and do the balancing when it suits them.., Kwa sehemu kama USA kulikuwa na Taasisi ambazo angalau in comparison na pengine zilikuwa strong ila ndio hivyo na zenyewe zimeonekana zipo prone ni ass kissers, na watu wenye Uchama kuliko mustakabari wa nchi...,