Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Huku ndio kuanza kampeni mapema kabla ya wakatiKatika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 7, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati akikagua maandalizi ya nyama choma kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, ambayo kitaifa yatafanyika jijini hapa kesho Machi 8.
Makonda amesema miongoni mwa sababu ya athari ya mabadiliko ya tabianchi ni ukataji holela wa miti kwa ajili ya shughuli za kibinadamu ikiwamo uchomaji mkaa, hivyo ofisi yake itagawa majiko ya nishati safi ili kukabiliana na hilo.
Badilika wewe..ukiwalazimisha wachome nyama tofauti na zilivyochomwa na wazee wao utaharibu maarifa, na utamaduni mzima, wa uchomaji nyama.
.
Badilika wewe
Wazee wa zamani wakichoma nyama walikuwa wakitumia majiko ya chuma kama sasa?
Kwa hiyo kama wazee wa zamani walivaa magome ya miti na wewe sasa usivae nguo?
Macho na masikio yetu yameelekezwa Dabby ya Kariakoo kwanza huko ni baadae.Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 7, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati akikagua maandalizi ya nyama choma kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, ambayo kitaifa yatafanyika jijini hapa kesho Machi 8.
Makonda amesema miongoni mwa sababu ya athari ya mabadiliko ya tabianchi ni ukataji holela wa miti kwa ajili ya shughuli za kibinadamu ikiwamo uchomaji mkaa, hivyo ofisi yake itagawa majiko ya nishati safi ili kukabiliana na hilo.
Uhalisia wa nyama choma ni mdomoni sio moto uliochoma nyama Wala nyama ndio wanatakiwa kuongea kama ladha sawa au la sio moto ulio choma nyama..ukichoma hizo nyama tofauti na zilivyopata umaarufu unapoteza uhalisia wake.
Mlipaswa kuanza Tanga kwenye ubwabwa mliopika na kuni 🤣🤣🤣🤣lini mtaacha utapeliKatika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.