Wachoraji wa Cartoons na Vichekesho

Wachoraji wa Cartoons na Vichekesho

Tatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2006
Posts
1,143
Reaction score
372
Je unajua kuchora cartoons za vichekesho lakini huna platform ya kuwafikia watu?

Kama wewe ni mmoja wao, wasiliana na mimi kwa Private Message tuongee zaidi.
 
mimi sio mchoraji ila a big fan
so kama una project unaweza share pia nione vipi naweza shiriki
 
Ni wazo tu katika harakati za kujiajiri na kuwapa wenye vipaji nafasi ya kuonyesha na kuendeleza vipaji vyao
 
Ni wazo tu katika harakati za kujiajiri na kuwapa wenye vipaji nafasi ya kuonyesha na kuendeleza vipaji vyao

kuna wabongo wanaweza mpaka cartoon za movie
so jitahidini soko lipo
mfano leo kuwe na movie ya cartoon ya bush stars na born town
lazima ita hit..
 
Shukrani. Natumaini watajitokeza
 
Back
Top Bottom