Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Ya Leo Kali kunguru kanyea ugali
Masela Wana njaa Kali[emoji16]
Masela Wana njaa Kali[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipataje hii albums mkuuView attachment 2614424
WACHUJA NAFAKA Tusisubiri Wapotee wote.....ndiyo tuseme waliwahi kutoa Moja ya Albamu kali, Narudia Tena Albam kali kuwahi kutokea Tanzania.
Fatilia Uzi Huu utajua kwanini nakuambia Ilikuwa moja ya Albam Kali Tanzania.
WACHUJA NAFAKA lilikuwa kundi la Muziki wa RAP lililoundwa na wasanii Juma Nature, KR na Dollo mzee wa Ladhia, Wote hao wakiwa ni wasanii kutoka Wilaya ya TEMEKE moja ya Wilaya yenye historia kubwa na muziki wa Tanzania enzi Hizo
Albam ya Wachuja Nafaka ilitengenezwa chini ya Label Kubwa na yenye heshima kubwa sana kwenye tasnia ya Muziki wa Tanzania BONGO RECORDS chini ya P FUNK Majani, kwahiyo kuhusu suala la Productions siyo la kutilia shaka.
Ni albam iliyokuwa na Nyimbo Tisa za Moto sana, Kuanzia ubora wa Beats, Ubunifu kimashairi, Korasi zilizoimbwa humo, na Ujumbe ambao ndicho kilikuwa kitu kikubwa sana kwa kipindi hiko na soko lilikuwa likiwapa nafasi zaidi watu wanaoandika ujumbe.
COLLABO YA KIMATAIFA Kwenye Albam hii ya Mzee wa Busara kuna wimbo wa Mapato ambapo kuna Collabo ya mnyama Bamboo, alipita humo moja kati ya Rappers wakali sana kutoka Kenya miaka hiyo
Wachuja nafaka Ndio walimuibua FID Q baada ya kumsikia mwanza na kumtabilia makubwa. Kwenye hii albam FID Q Ali ibuliwa na Alishirikishwa kwenye wimbo mmoja kama underground ila akaja kua msanii mkubwa bongo.
Kumbuka kwenye Albam hiyo ni ngoma tatu pekee kati ya Tisa ndizo walikuwa wameshirikishwa watu wengine, ile ya Bamboo, Inspector kwenye mzee wa Busara na FID Q ambaye alikuwa bado Kinda kwenye muziki ila wao walishauona ukali wake mpaka kumpa nafasi.
Yani ngoma za kwenye Albam hii zilikuwa za moto kiasi kwamba takribani nyimbo 7 zote zilipotoka ziliwahi kuwa kwenye Top10, Top5 za Radio na Zile Chart za kwenye magazeti (Wazee wenzangu mnazikumbuka)
Sio Nigga J kweli Mkuu ?.
Hiyo ngoma ni Ukweli na uwazi moja kati nyimbo Bora sana kwa wakati ule.
Ya Leo Kali kunguru kanyea ugali
Masela Wana njaa Kali[emoji16]
Mkuu uki ingia Boom play unaipata.........Naipataje hii albums mkuu
Kwenye ile Album ukisikiliza Vesi za KR lazima aongelee misosiWanatoleana macho utafikiri wamepoteza nauli, unajifanya unasoma unasoma, chekechea primary seco hujawahi kupata vyema [emoji28]
Haaahaa🤣🤣🤣😂😂Kwenye ile Album ukisikiliza Vesi za KR lazima aongelee misosi
Halafu kweli bhana , walalahoi tushukuru sana matumbo hayana vioo/ la sivyo ingekuwa Soo/ kwani tungeona mipande ya mihogo maharage hayajaungwa Dona Yani tungeona Kila Kona.[emoji23]Kwenye ile Album ukisikiliza Vesi za KR lazima aongelee misosi
Halafu kweli bhana , walalahoi tushukuru sana matumbo hayana vioo/ la sivyo ingekuwa Soo/ kwani tungeona mipande ya mihogo maharage hayajaungwa Dona Yani tungeona Kila Kona.[emoji23]
Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na mimi ...Kuna hii wameimba na Ksouth bamboo
Chrorus nzurii Sana tunafanya kaziii UNAITWA mapato...
Wali rap sanaaAsiyefunzwa na mamaye atafunzwa na mimi ...