Wachukua ruhusa na kujilipa per dm kwenda kumfariji rais (mfiwa)?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Hii nchi aisee tuna kitu tutafika mbali….. mnajiandikiaje per dm , kujilipia nauli kwenda na kurudi ya kwenda kumfariji mfiwa ? Ndio ni rais lakini kafiwa na mume , mume hakua ameoa taifa wajameni !! Msitumie kodi zetu vibaya hivo
 
Nchi ya wajinga ndio iliwayo. Na jamaa wakimuweza Lissu basi jua nchi itabaki mifupa tu
 
jambo liangaliwe kwa makini
 
Back
Top Bottom