Wachukulieni hatua wachezaji waliohujumu timu walau tuwe na matumaini

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa baada ya kubaini Kuna wachezaji walihujumu timu siku tuliyopigwa 5-1
Hii imesababisha mashabiki tumate tamaa na tusiwe na Shaka yeyote kuwa viongozi tulionao ni mamluki.

Hatuendi uwanjani.
 
🤣 watani naona kwenye banda lenu hakuna maelewano!
 
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa baada ya kubaini Kuna wachezaji walihujumu timu siku tuliyopigwa 5-1
Hii imesababisha mashabiki tumate tamaa na tusiwe na Shaka yeyote kuwa viongozi tulionao ni mamluki.

Hatuendi uwanjani
Jibu ni kwamba hawapo zilikuwa tu story
 
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa baada ya kubaini Kuna wachezaji walihujumu timu siku tuliyopigwa 5-1
Hii imesababisha mashabiki tumate tamaa na tusiwe na Shaka yeyote kuwa viongozi tulionao ni mamluki.

Hatuendi uwanjani.
msiende mpk waseme...
 
Viongozi wenu wameonekana India wakisaka kocha.
Wanasimba msiwe na wasiwasi. Mtampata Patel Swaminarayan.
 
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa baada ya kubaini Kuna wachezaji walihujumu timu siku tuliyopigwa 5-1
Hii imesababisha mashabiki tumate tamaa na tusiwe na Shaka yeyote kuwa viongozi tulionao ni mamluki.

Hatuendi uwanjani.
Hakuna mchezaji aliyehujumu... Ule mkono ulikuwa wa halal kabisa... Achen visingizio
 
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa baada ya kubaini Kuna wachezaji walihujumu timu siku tuliyopigwa 5-1
Hii imesababisha mashabiki tumate tamaa na tusiwe na Shaka yeyote kuwa viongozi tulionao ni mamluki.

Hatuendi uwanjani.
Na wewe ukabebwa na propaganda za kihuni eti kuna mchezaji kahujumu timu?
 
Timu mbovu ile Ki anafunga goli mbele ya watu watano Nzegeli alikua anatembea kama yupo Mtoni...
 
Mna ubavu wa kuwachukulia hatua Chama na Inonga?? Jaribuni kuwasimamisha muone kama kwenye ligi hamjashuka daraja na kwenye CAF hamjaburuza mkia kwenye kundi. HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUMGUSA CHAMA.
 
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa baada ya kubaini Kuna wachezaji walihujumu timu siku tuliyopigwa 5-1
Hii imesababisha mashabiki tumate tamaa na tusiwe na Shaka yeyote kuwa viongozi tulionao ni mamluki.

Hatuendi uwanjani.
Hawa wote ni timu dhaifu kwa Yanga, hakuna hujuma yoyote.
 
Attachments

  • 20231105_233611.jpg
    42.1 KB · Views: 1
Kwa kweli waanze na wachezaji wa simba SC walocheza na yanga na kufungwa bao 5

Iwe fundisho!

Walikera sana mashabiki [emoji57][emoji57]
 
Hizo nguvu za kumsimamisha chama,inonga,kapombe mnazo?

Haiwezekani na mkijaribu huo ujinga inonga atatua yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…