Wachumba wa jf na mpesa,tigo pesa,??????????

Wachumba wa jf na mpesa,tigo pesa,??????????

sio kila unachokipenda wewe, na mwingine hatakipenda...
Hupendi kuambiwa don't mpesa or tigopesa me, lakini kwa mwanamke mwingine hiyo kwake ni credit ya kupata mwanaume wa ndoto zake...
Vilevile ni taadhari kabla ya hatari maana wapo wanawake aambao kutwa ni kuwinda "chapaa" za wanaume, hivyo kwa kuwa mtu anatafuta mwenzi kwa njia ya mtandao hiyo ni encounter nzuri tu kuepusha msongamano.
Hivyo smile usilazimishe watu kuamini unachoamini, acha watu wafungunke na wajulikane rangi zao.
ni ushauri tu my dear,wawe kama wewe tu chop chop money pesa kitu gani bwana?
 
Smile wala usipate tabu wa aina hii unamwambia ailale buku kumi yake toooooooooop!
kwani alikukuta huli wala huvai ama alikukuta unaa mtaroni.

mwanaume mwenye mapenzi ya kweli wala hela kwake sio ishu kidogo alichonacho atashea na mwenzie, ukiona aniona hela yake tamu basi aiambaie impe utamu.
 
Last edited by a moderator:

Pesa ndo Kila kitu.
Weka pesa nikupe penzi.
Shikamoo dada gfsonwin.
 
Last edited by a moderator:
Smile wala usipate tabu wa aina hii unamwambia ailale buku kumi yake toooooooooop!
kwani alikukuta huli wala huvai ama alikukuta unaa mtaroni.

mwanaume mwenye mapenzi ya kweli wala hela kwake sio ishu kidogo alichonacho atashea na mwenzie, ukiona aniona hela yake tamu basi aiambaie impe utamu.
sio mimi sis kuna mdau nimemkuta anamind Madam X .mimi mtu wangu yupo fresh tu even tho nilimpata hapa hatuna habari na hela sie
 
Last edited by a moderator:
pesa hutopata ,na penzi utatoa na penzi hutopata!

We Smile wewe!
Huyo mwanaume anakutana na wanawake sio.
Aje kwangu aone mziki wake.
Atatoa tu pesa.
 
Last edited by a moderator:
sio mimi sis kuna mdau nimemkuta anamind Madam X .mimi mtu wangu yupo fresh tu even tho nilimpata hapa hatuna habari na hela sie

thats love Smile. hawa wanaolia na pesa zao hawajapenda bado.
 
Last edited by a moderator:
Ni ushauri tukuna hii tabia ya wakaka /wababa/wazee wanaotoa matangazo yao ya kutafuta wachumba humu mtu anatiritika sifa za amtakae then kuna hiki kipengele mnakipenda sana sijui ndo wimbo wa taifa kwenu? Oooh asiwe anapiga mizinga ooh dont mpesa me,or dont tigo pesa or airtel money me???? Khaaa mnajihami nini ? Ulishampesa na kutigopesa wangapi? Nani kasema ana shida na pesa by the way kama hela ni issue na unazo si zingekupa partner siku zote? Mbona unakuja kutulilia pm hapahuko ni kuogopa majukumu,kuwa simple sio wanawake wote wapo kiiivo ila ukishatanguliza umimi umimi katika vitu vyako unajipunguzia maksi,changu changu hela zangu hela zangu kaa nazo basi!Wala hamna mtu mwenye time na hela zenu wanawake wanapenda mapenzi ya dhati na sio pesa ,hata sisi tunatafutachorusOn his death bed, Alexander summoned his generals and told them his threeultimate wishes: 1. The best doctors should carry his coffin; 2. The wealth he has accumulated (money, gold, precious stones…) should be scattered along the procession to the cemetery, and 3. His hands should be let loose, hanging outside the coffin for all to see!! One of his general who was surprised by these unusual re...quests asked Alexander to explain. Here is what Alexander the Great had to say: 1. I want the best doctors to carry my coffin to demonstrate that, in the face of death, even the best doctors in the world have no power to heal; 2. I want the road to be covered with my treasure so that everybody sees that material wealth acquired on earth, stays on earth... 3. I want my hands to swing in the wind, so that people understand that we come to this world empty handed and we leave this world empty handed
Hili nalo neno! sina comment kwa kweli ila message sent...
 
Haka hataki jua umri, hata nikiwa bi kidude sawa tu?
Hivi utalii wa ndani wa ngono nao umeongezeka?

wanakaba qualification ya kwanza ,hataki kujua umri,wala dini wala taifa wala upendo.
,dont mpesa me ,dont tigo pesa me khaaa imekuwa ugomvi?
 
Nimekupenda bure kwa mentality ulionayo dadangu.
chorusOn his death bed, Alexander summoned his generals and told them his threeultimate wishes:

1. The best doctors should carry his coffin;

2. The wealth he has accumulated (money, gold, precious stones…) should be scattered along the procession to the cemetery, and

3. His hands should be let loose, hanging outside the coffin for all to see!!

One of his general who was surprised by these unusual re...quests asked Alexander to explain. Here is what Alexander the Great had to say:

1. I want the best doctors to carry my coffin to demonstrate that, in the face of death, even the best doctors in the world have no power to heal;

2. I want the road to be covered with my treasure so that everybody sees that material wealth acquired on earth, stays on earth...

3. I want my hands to swing in the wind, so that people understand that we come to this world empty handed and we leave this world empty handed
 
Tangu nimeanza kutafuta pesa sijawahi zishika, nifanyeje?
Wahongaji nao ndo hawa, tutakula polisi mwaka huu
Hivi na wewe kumbe upo kwenye kundi la wanaotafuta maisha?

Wenzako tunaishi mambo ya kutafuta maisha tuliishaachana nayo hayana maana yoyote ya uwepo wako Duniani. ISHI.
 
We Smile wewe!
Huyo mwanaume anakutana na wanawake sio.
Aje kwangu aone mziki wake.
Atatoa tu pesa.
kula uliwe? kama unadhani utakula cha mtu bure utasubiri sana..kaaa kimapenzi upate penzi
pesa zipo tu kila mahali
 
Ni vizuri mtu akasema kile anachojisikia. Ila ki ukweli mimi sipendi kuombwa hela, kwa mfano; mmeanza mapenzi hata hamjajuana vizuri mtu anaanza ooh, naomba hiki, kile. In good faith haipendezi.

Wanaume walio wengi hawapendi mambo ya naomba, nina shida all the time. Wanawake nao ukitupa chance za kuomba utafikiri ni kituo cha msaada (unaomba mpaka vitu vya kijinga). Hata mimi kuombwa ombwa sipendi.
 
Haka hataki jua umri, hata nikiwa bi kidude sawa tu?
Hivi utalii wa ndani wa ngono nao umeongezeka?
hataki tu mtu wa kumchop money eti? hataki majukumu tena anataka mke awe na phd kabisa ajitegemee
 
He he he, am too old kutafuta pesa sasa
Niliamua kuishi miaka mingi

Ndo maana nashangaa haya mapenzi ya pesa, vijana hawajui kuwa mara chache sana hela ya kuhongwa inamtoa mtu kutola kuvel moja kwenda nyingine. Pesa ulioifanyia kazi ndo inakupa utajiri

Hivi na wewe kumbe upo kwenye kundi la wanaotafuta maisha?

Wenzako tunaishi mambo ya kutafuta maisha tuliishaachana nayo hayana maana yoyote ya uwepo wako Duniani. ISHI.
 
Simple mathematics, nenda Jolly club ukauze mwili wako, wateja rukuki na wenzako wanaouza miili yao utawakuta pale.

Na ndio maana nipo hapo Jolly najiuza.
Karibu mteja.
 
Back
Top Bottom