kula uliwe? kama unadhani utakula cha mtu bure utasubiri sana..kaaa kimapenzi upate penzi
pesa zipo tu kila mahali
Tangu nimeanza kutafuta pesa sijawahi zishika, nifanyeje?
Wahongaji nao ndo hawa, tutakula polisi mwaka huu
teh teh teh. Mtafute bank teller
Mmh, benk tela naye si analamba tu na kuwagawi wenzie? Nataka sefu lenyewe
Kiburi cha wahehe..ndi mgaya sida beee....hata kama amepigika...watuache na dhiki zetu.si tunaishi bwana?
1. I want the best doctors to carry my coffin to demonstrate that, in the face of death, even the best doctors in the world have no power to heal;
2. I want the road to be covered with my treasure so that everybody sees that material wealth acquired on earth, stays on earth...
3. I want my hands to swing in the wind, so that people understand that we come to this world empty handed and we leave this world empty handed
watajiju bwana.hela zenyewe hata hawana mashauzi tupu,wenye hela kimyaa!Sio kwamba ninasema uchoyo ni mzuri au watu wanaotanguliza pesa ndio wapo sawa.., bali maana yangu ni kwamba...
Katika kutafuta partner je ni bora kuficha hisia zako mwanzo ili upate / kudanganya mtu au uonyeshe tabia zako (hata kama ni mbovu kwenye macho ya wengi na zitapelekea kupata wachache) ?
All in all watu wapo tofauti kuna wasichana wengine hata ukitaka kulipia labda umetoka dinner anakuuliza kwanini unanilipia (hususan watu wa magharibi), kwahio huenda baadhi ya watu hapa wanatafuta watu kama hawa (au wanataka mapenzi ya no strings attached) yaani kupeana good time physically tu no emotions, As you know kwenye Love connect hata wale wenye Love for the Money nao wanahusika
Mmh, benk tela naye si analamba tu na kuwagawi wenzie? Nataka sefu lenyewe
Simple mathematics, nenda Jolly club ukauze mwili wako, wateja rukuki na wenzako wanaouza miili yao utawakuta pale.
Hahahaha! Uwiii!
Yaani mwaka huu ni kula polisi kwa kwenda mberree! Namshukuru Paw kwa kunisitiri, ningekoma! Wanaume wameisha aisee! Unampa mtu.laki unaita hongo? Kha!
Ni ushauri tu
kuna hii tabia ya wakaka /wababa/wazee wanaotoa matangazo yao ya kutafuta wachumba humu
mtu anatiritika sifa za amtakae then kuna hiki kipengele mnakipenda sana sijui ndo wimbo wa taifa kwenu? Oooh asiwe anapiga mizinga ooh dont mpesa me,or dont tigo pesa or airtel money me????
Khaaa mnajihami nini ? Ulishampesa na kutigopesa wangapi? Nani kasema ana shida na pesa by the way kama hela ni issue na unazo si zingekupa partner siku zote? Mbona unakuja kutulilia pm hapa
huko ni kuogopa majukumu,kuwa simple
sio wanawake wote wapo kiiivo ila ukishatanguliza umimi umimi katika vitu vyako unajipunguzia maksi,changu changu hela zangu hela zangu kaa nazo basi!
Wala hamna mtu mwenye time na hela zenu wanawake wanapenda mapenzi ya dhati na sio pesa ,hata sisi tunatafuta
chorusOn his death bed, Alexander summoned his generals and told them his threeultimate wishes:
1. The best doctors should carry his coffin;
2. The wealth he has accumulated (money, gold, precious stones ) should be scattered along the procession to the cemetery, and
3. His hands should be let loose, hanging outside the coffin for all to see!!
One of his general who was surprised by these unusual re...quests asked Alexander to explain. Here is what Alexander the Great had to say:
1. I want the best doctors to carry my coffin to demonstrate that, in the face of death, even the best doctors in the world have no power to heal;
2. I want the road to be covered with my treasure so that everybody sees that material wealth acquired on earth, stays on earth...
3. I want my hands to swing in the wind, so that people understand that we come to this world empty handed and we leave this world empty handed